Natafuta mke

Natafuta mke

Masokwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2019
Posts
454
Reaction score
685
Hello mamboleo vip wadau.
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Nahitaji mwanamke mwenye heshima zake
Elimu sio kigezo sanaa ila awe mwelewa, kujituma Kwa kufanya kazi, mapenzi na familia.
Sifa zake.
-Awe mwenye kupenda uasili, asiwe mwenye kubadili asili ya rangi (sipendi kabisa mwanamke anayejichubua
-asihusike na kubadili nywele zake kwa kuweka kemikali (ukiwa hata rasta fariani itakuwa poa sana.
--kuvaa mawigi kila mara hainipendezi unless kwa very special events
--Akiwa na nyama kiasi itakuwa safi na urefu kiasi kwa maana mimi ni mrefu kiasi 6.8ft
--Akiwa mweupe wa asili itakuwa vyema pia)(ili kuepuka habari za kujikoboa) na ukiwa maji ya kunde make sure huanzia kujikoboa.
--kabila sichagui (ila ukiwa unajua kabila lako linasifika kwa sifa mbovu mbovu tafadhali kaa mbali.
Warembo wote wenye kufundwa karibuni Inbox
Am very serious kabisaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashariti kama umetumwa na mganga wa jadi.....unataka kutowa mtu kafara? Sio kwa mashariti hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nenda bush huko, vigezo vyote ulivyotaja vipo, am sure humu hupati mtu

thanks to god the almighty
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom