Kuishi miaka mingi

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
28,811
39,020
Nini kifanyike ili tuweze kuishi miaka 100 au na zaidi?
Wengi wetu tumekuwa tukiishi miaka 30,40,50,60 n.k au pungufu ya hapo na kufa.
Je ni halali kufa mapema?Nini kifanyike sasa?
 
Hatuna namna tunaweza kujizuia kukwepa kifo hata iweje..
kikubwa Ni kuomba tu neema ya Mungu atujaalie maisha marefu,,tuishi tuzae matunda,tujitenge mbali na uovu kwa kutenda yaliyo mema

Pia kujali afya Ni muhimu,,,kutengeneza mazingira rafiki kwa afya zetu.. kujiepusha na mazingira yatakayosababisha magonjwa mbalimbali

All in all maisha yetu yapo mikononi mwa Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuna namna tunaweza kujizuia kukwepa kifo hata iweje..
kikubwa Ni kuomba tu neema ya Mungu atujaalie maisha marefu,,tuishi tuzae matunda,tujitenge mbali na uovu kwa kutenda yaliyo mema

Pia kujali afya Ni muhimu,,,kutengeneza mazingira rafiki kwa afya zetu.. kujiepusha na mazingira rafiki yatakayosababisha magonjwa mbalimbali

Ni kweli mkuu,ila juhudi binafsi ni muhimu zaidi
 
Hatuna namna tunaweza kujizuia kukwepa kifo hata iweje..
kikubwa Ni kuomba tu neema ya Mungu atujaalie maisha marefu,,tuishi tuzae matunda,tujitenge mbali na uovu kwa kutenda yaliyo mema

Pia kujali afya Ni muhimu,,,kutengeneza mazingira rafiki kwa afya zetu.. kujiepusha na mazingira rafiki yatakayosababisha magonjwa mbalimbali

All in all maisha yetu yapo mikononi mwa Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
................Nadhani hili ndo sahihi,kwa walioamini tuishi kwa kumuheshimu Mungu na kumtukuza ikiwa ni pamoja na kutenda mema na kuziishi amri zake coz itakufaa nini uishi miaka mia huku hujui hatma ya nafsi yako siku macho ukiyafunga kwenda kule kusikojulikana ambako hutarudi tena?

Iwe ni miaka 10 20 50 au 99 itakuwa na manufaa zaidi pale utakapojua japo kwa % chache kwamba umeandaa neema mbele yako.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
kama zipi mkuu?
1.usiwe na miungu mingine isipokuwa yeye
2.ikumbuke siku ya Bwana uitakase,siku sita fanya kazi
3.waheshimu baba na mama yako upate heri duniani
4.usiue
5.usiibe
6.usizini
7.usimshuhudie jirani yako uongo
8.usitamani mali ya jirani yako
9.usijifanyie sanamu ya kuchonga ukaiabudu
10.usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako.
 
Nimezishika zote hizo tangu nikiwa mdogo,nadhani nitakuwa nimefudhu ili niweze kuishi miaka mingi.Vipi kuhusu ulaji au ufanyaji kazi,hauwezi kuathiri muda wa kuishi?
 
kama zipi mkuu?
Mkuu unauliza amri zipi?

*Amri ya nne:WAHESHIMU BABA NA MAMA UPATE MIAKA MINGI NA HERI DUNIANI.
Kiimani amri hii kama hukuitekeleza kulingana na malalamiko ya wazazi wako Mungu atakutenganisha nao mapema ili wasiendelee kuumia kwa utovu wako wa nidhamu.

Kama hujafa atakunyima heri zake ambazo ni mafanikio,unafanya kazi kwa bidii miaka nenda miaka rudi huna mafanikio yoyote unazaa watoto nao wanakuwa hawaeleweki yaani maisha yako yanajaa vurugu na stress zisizoisha.

*Amri ya tano:USIUWE
Hakuna asiyejua madhara ya dhambi hii ktk dunia hii tunayoishi,hukunyongwa utafungwa maisha gerezani hujafa kwa maradhi stress zitakuuwa,hapa tunaona jinsi hii amri inavyo-deal na wewe moja kwa moja.

*Amri ya sita na tisa:USIZINI/USIMTAMANI MWANAMKE ASIYEKUWA MKE WAKO
Ukizini utakumbana na maradhi kama HIV Gonorrhea mengine ongeza yatakuuwa au utauwawa kwa visu same na hizo amri hapo juu adhabu inakufika moja kwa moja ukiiona kwa macho yako.

*Amri ya saba na ya kumi:USIIBE/USITAMANI MALI YA JIRANI YAKO
Kama unaishi kwenye hii miji iliyojaa vurugu utakuwa umeshuhudia vijana aged 18/28 wakipigwa na wananchi wenye hasira kali,madhara ya kutokuzitii amri za Mungu hayo.

Nimejaribu kuorodhesha kwa uchache zile dhambi ambazo tukizitenda huwa kwa vyovyote vile lazima tuone ziki-take action kwenye maisha yetu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Mother confessor
Mother Mary
Mother Theresa
Hi!
1.usiwe na miungu mingine isipokuwa yeye
2.ikumbuke siku ya Bwana uitakase,siku sita fanya kazi
3.waheshimu baba na mama yako upate heri duniani
4.usiue
5.usiibe
6.usizini
7.usimshuhudie jirani yako uongo
8.usitamani mali ya jirani yako
9.usijifanyie sanamu ya kuchonga ukaiabudu
10.usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.usiwe na miungu mingine isipokuwa yeye
2.ikumbuke siku ya Bwana uitakase,siku sita fanya kazi
3.waheshimu baba na mama yako upate heri duniani
4.usiue
5.usiibe
6.usizini
7.usimshuhudie jirani yako uongo
8.usitamani mali ya jirani yako
9.usijifanyie sanamu ya kuchonga ukaiabudu
10.usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako.
Nakuona fundi wangu umeshaanza utume rasmi!!! Ngoja me nipande kitandani...tutaonana kesho (misa ya kwanza).

Good nyt kamdori...bye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unauliza amri zipi?

*Amri ya nne:WAHESHIMU BABA NA MAMA UPATE MIAKA MINGI NA HERI DUNIANI.
Kiimani amri hii kama hukuitekeleza kulingana na malalamiko ya wazazi wako Mungu atakutenganisha nao mapema ili wasiendelee kuumia kwa utovu wako wa nidhamu.

*Amri ya tano:USIUWE
Hakuna asiyejua madhara ya dhambi hii ktk dunia hii tunayoishi,hukunyongwa utafungwa maisha gerezani hujafa kwa maradhi stress zitakuuwa,hapa tunaona jinsi hii amri inavyo-deal na wewe moja kwa moja.

*Amri ya sita na tisa:USIZINI
Ukizini utakumbana na maradhi kama HIV Gonorrhea mengine ongeza yatakuuwa same na hizo amri hapo juu adhabu inakufika moja kwa moja ukiziona kwa macho yako.

*Amri ya saba na ya kumi:USIIBE/USITAMANI MALI YA JIRANI YAKO
Kama unaishi kwenye hii miji iliyojaa vurugu utakuwa umeshuhudia vijana aged 18/28 wakipigwa na wananchi wenye hasira kali,madhara ya kutokuzitii amri za Mungu hayo.

Nimejaribu kuorodhesha zile dhambi ambazo tukizitenda huwa kwa vyovyote vile lazima tuone ziki-take action kwenye maisha yetu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Hizo zote nimezishika tangu nikiwa mdogo,je nitafika miaka 100?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom