Kuna mtu leo kasema ana PHD kutoka chuo flani ufaransa mara nimepata demu wakiholanzi ntafikaje fikaje huko kwani ufaransa ulifikaje. Mwingine anasema sijui Morogoro nna mademu 10 Dodoma 4 Dar 16...
Wana jf, mm ni kijana niliekatika mahusiano ya kimapenzi na bint mmoja, ambae bint huyu kiukweli japo nmemkuta akiwa na mtoto nmetokea kumpenda sana hadi kufikia maamuzi ya kutaka kuishi nae kama...
Yaani hii dunia inachekeshaga sana kwakweli...
UNAKUTA JAMAA ANA CHUMBA CHAKE FULL ANA KAZI NZURI...ANA BINT MZURIIII ANAMPENDA SANA WANAPENDA NA SOMETIMES WANAISHI PAMOJA USIKUTE FOR ALMOST 3...
Ukiwa mrembo na unataka kutoka ki maisha njoo Dar
Dar binti mrembo anaconfidence kuliko mwenyewe degree
Kwa Dar, binti mzuri anaishi maisha expensive kuliko maisha ya mkuu wa chuo mikoani
Kwa...
Mtu unaamua kufanya something nice for your girl, unamfanyia na surprise kabisa. Lakini reaction yake sasa, unaweza ukajuta. People need to be appreciative.
Eee bhana swaga zake sizielewi kabisa.
Setka zote poa napata mambo ila anafuga rasta,,,napikiwa,mahitaji yote ya kiume napata,kupikiwa na kufuliwa,..anakaa sana kisela,tunatoka out halafu anavaa...
Habari wakuu,
Watu wengi wamekuwa wakiwalaumu vijana ambao wamefikia umri fulani lakini bado wanaendelea kuishi kwao au kutegemea wazazi wao,
lakini chaajabu kila mmoja anatoa muono wake juu ya...
Mwanaume kabla hajao nafas ya mwanamke moyon mwake anakaa mama yake, na ndo maana katika mtu anayeleta upinzan wa mtoto wa kiume katika kuoa ni mama yake, Kwa sababu nafas aliyokuwa anashikilia...
Ukiwa mrembo na unataka kutoka ki maisha njoo Dar
Dar binti mrembo anaconfidence kuliko mwenye degree na masters
Kwa Dar, binti mzuri anaishi maisha expensive kuliko maisha ya mkuu wa chuo...
Heshima kwenu wadau..
Nipo kijiweni bar ya jirani hapa tunacheki world cup Brazuca..
Kuna jamaa amezua hoja nzito kwamba kamwe hawezi kuoa mwanamke anaetoka familia ya kimaskini maana wengi wao...
Wacha niseme hili wazi
Kwenu
Najua wakaka mtanuna ila bora
Mnune kidogo ili niwaponye
Mabinti zangu
Iko hivi 😍🤔
Asilimia kubwa ya wanaume wanataka kuishi na wanawake bila kufunga ndoa ili ikitokea...
Ukiwa mrembo na unataka kutoka ki maisha njoo Dar
Dar binti mrembo anaconfidence kuliko mwenyewe degree
Kwa Dar, binti mzuri anaishi maisha expensive kuliko maisha ya mkuu wa chuo mikoani
Kwa...
Habari zenu wadau: niende kwenye mada.
Jana ilikuwa siku maalumu kwangu baada ya kuahidiwa papuchi kwa muda mrefu kidogo, lakini nasikitika kilichonitokea sijawahi kukiona, kifupi nilikuwa na...
Kuoa mwanamke mbaya ni udhaifu wako mwenyewe au uoga wa kutokujiamini,
Mbaya zaidi mkiishi miaka kadhaa mnaanza kufanana.!
Mjifunze kwa wazee wenu kama 1.mzee "Machache" ameoa chombo na mpaka sasa...
Nilikuja na uzi humu kuhusu mpenzi wangu ambae nilishapanga kabisa siku sio nyingi kama Mungu akipenda mimi Zero IQ niuage ukapela Rasmi niingie kwenye nyumba ya Ndoa,
Uzi wenyewe ni...
Leo ni siku ya tatu nipo nyumbani kwa mpenzi wangu Rebecca maeneo ya Kibamba kwa Mangi.
Ndio Muda huu naaamka hata sijaswaki, my Rebecca ashaamka toka saa kumi na mbili anaendelea na shughuli...
Waungwana wa humu nawasalimu sana
Tangu nirudi kanda ya ziwa mwishoni mwa mwaka 2018 nimekutana na hali ya kuamkiwa sana na watu mabinti kwa wakaka
Kisura mi ni HB haswa nna ndevu kiasi zenye...
Ndugu zangu habarii za Jumamosiiii, naamini wikiend imekaa poa sana
Lengo la kuanzisha thread hii kusaidiana tu kimkakati hasa kwa wanaume amabo bado wanaamini katika ndoa, najua kuna wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.