Mahusiano ya Mwanaume kwa Mwanamke

Mahusiano ya Mwanaume kwa Mwanamke

kwetumasoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
866
Reaction score
518
Kutokana na utafiti wangu mdogo nilioufanya na malalamiko mengi katika mahusiano ya mwanaume kwa mwanamke, kuwa na mahusiano na mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 35 na kuendelea ni raha sana maana wengi wao huwa wanajitambua na wala si wasumbufu kihivyo, ila kuna baadhi ya wachache sana ambao hawajitambui lakini shida hutokea pale ambapo unakuwa kwenye mahusiano chini ya miaka 35, ni shida, Maana wengi wao hawajitambui kabisa mizinga mingi na hujifanya wao wanajua kila kitu, Kwa hiyo inakuwa taabu tupu.
 
Huo ndio ukweli na huwa hawana usubufu hata wa kuwagegenda maana wanajua walichokubali ni ninj..sio wengine kila appointment mnaishia kununiana tu

Wa sukumaland
 
Back
Top Bottom