Nani muongo zaidi ktk mapenzi kati ya mwanaume au mwanamke?

Akili Pesa

JF-Expert Member
Jun 18, 2014
616
854
Habari za Usku Wakuu.

Nmepata swali hili ktk pitapita yangu mtandaoni na watu wamejadiliana mpaka unacheka na kufurahi.

Ni hivi watu walikuwa wanajadiliana juu ya nani ni muongo zaid ya mwenzake katika mapenzi, kati ya mwanaume au mwanamke?

Tupeane majibu humu mpk tutafikia mwsho mzuri na jinsia moja itakubaliana na jinsia nyingine maani ni wazi kuwa kila Jinsia inaamini jinsia nyingne inaongoza kwa uongo lkn tukijadiliana humu tutapata majibu na ushahidi..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake waongo sana kila kona yani hawa viumbe ni shida


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Manaume cc n waongo
Kuna dem unaona kbsa huyu dem kwa khali angu sina hazi kbsa ya kumilik lkn unapenda kwel xx pale ukienda n ukwel mzee unaambulia kizibo cha coka jarbu teena
Lakini ukimdanganya wee n m2 mzito nazan mnaelewa hapo hta awe veep lazma akubali hapo ndo uongoo unaanza kukomaaa,
Lkin kwa mwanamke km hajakuelewa deeply na bdo unalzmsha mzee subilia kudanganywa 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom