figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,910
- 63,591
Habari zenu wanamalavidavi,
Ile shida ya Mwanza imeanza kunisumbua. Hii shida tulikuwa nayo kwenye mahusiano miaka ya nyuma, ikatokea kuna shida nyingine ikatuma meseji kimakosa kwenye simu yangu akaiona. Akaanza kelele eti amefumania meseji.
Nlijitetea sana hakuelewa akasusa akasimama kwa hasira akanipiga kofi la nguvu kisha akaondoka.
Tangia hapo nikawa napiga simu hapokei mwisho wake akanifungia vioo. Nikachezea block kama mwaka.
Nlimpenda sana, nikatuma hadi marafiki waniombee msamaha lakini shida ilikataaa
Kumbe nahangaika muda wote mwenzangu alikuwa kapata mtu wa kumdrill so mimi nlikuwa namuwekea kiwingu, nlijisikia mnyonge sana, nikajutia misamaha nliyoomba. Nikaachana naye mazima.
Ndani ya miezi mitano jamaa linamdrill tu.
Eti baada ya miezi nane ndo shida inaniblokuwa na kusema amenisamehe bila kujali alokuwa anamdrill kwamba najua. Sikutaka maneno nikasema poa.
Basi nikikaa na ugwadu nami nikawa najisavia..
Sasa amesikia nimepata shida mpya anaanza kuleta wivu, wakati yeye jamaa amemjay dee miezi nane wala sijawahi mlalamikia hata kumlalamikia japo ilikuwa inaniuma nlijikaza kiume.
Sasa nimepata faraja hii shida inataka niletea matatizo eti tumetoka mbali. Kimara na Ubungo kina umbali gani?
Nikamwambia nlishavunja mahusiano na wewe miezi nane iloisha. Sasa kaaapa kulala mbelele na hii shida yangu mpya.
Wakuu, mimi sitaki kumpiga mwanamke. Nipeni ushauri nifanyeje ili asimsumbue mpenzi wangu? Nshakata shauri ya kwamba huyu naoa. Akifanyiwa fujo si atanikimbia?
Nlimwambia sina mpenzi. Sasa hii shida inasema eti mimi mpenzi wake. Mbaya zaidi inadai ikisikia mtu nmelala naye atakuja alala katikati yetu hadi asubuhi. Anamtisha eti kwenye historia yake hajawahi nyang'anywa mume.
Hii shida mpya naona kama inalalamika eti haijazoea kugombania mwanaume.. Anaongea hivyo huku anacheka. Kaniogopesha sana, nahisi hi8 kauli si nzuri kwa huu uhusiano.
Nifanyeje ili asiisumbue hii shida mpya?
Sababu ninavyojijua sipendi kero na maneno ya hizi shida. Wakiendelea niumiza kichwa shida zote ntazitua nitembee mbele kwa mbele.
Ila huko ni mbali. Naombeni ushauri