Kwa tulio wahi kupendwa njoo tu-share exprerience

Kwa tulio wahi kupendwa njoo tu-share exprerience

Ultimate

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
739
Reaction score
1,890
Amani sana bosess
Dha! Sometimes kuwa na mahusiano na mtu anayekupenda raha sana, nime mkumbuka kuna kipindi nilikua na mahusiano na mdada flani alikua ananipenda hadi nilikua naona hii mbona imezidi alikua fun mpaka nikamwambiaga siku nikikuacha utakuja upate presha, jibu alilonipa ndo limenifanya nijiandae kufunga nae ndoa mwakani baada ya pasaka
mambo yanayo nivutia kwake ni kwamba ni mtu anayejali pia ana akili ukimbwambia unamaoni gani juu ya brexit anajua jinsi ya kuchambua hoja na impact
Kwa walio wahi kupendwa kama mimi nini kilikuvutia kwa mtu aliyekua anakupenda
 
Mleta uzi kutolea mfano wa brexit imekua nongwa?

Anachomaanisha ni ile mtu kuwa na upeo au kujua mambo yanayoendelea duniani na uelewa wa mambo kwa ujumla.

Watu hawawezi kulingana lakini mtu anaeongelea au akili yake yote ipo bongo movie, magazeti ya Ijumaa, habari zake mastaa wa Insta, ni kazi sana mkawa na hamasa na kufurahiana kwenye mazungumzo.
 
Mimi nimewahi kupenda aisee dah. Nilimpenda Mwanne Selemani shule nzima ikajua, nyumbani wakajua na ex wake akajua akatamani kunipiga ila ndo hawezi akabaki kutumezea mate.
At last akamrudisha mdada kwenye himaya yake. Nilidata.
 
Mazungumzo sio lazima yawe ya kiulayaulaya.mapenz kupendana mkuu mbona hata mabubu wanapendwa?
 
Mimi nimewahi kupenda aisee dah. Nilimpenda Mwanne Selemani shule nzima ikajua, nyumbani wakajua na ex wake akajua akatamani kunipiga ila ndo hawezi akabaki kutumezea mate.
At last akamrudisha mdada kwenye himaya yake. Nilidata.
Inaonekana hukumfikisha kileleni so akaamua kurudisha kambi kwa msimamia ukucha wa kitambo[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom