geniusMe
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 1,313
- 1,793
Daah demu anashangaa sana kwanin nachukua muda mlefu kutoa jibu, ameshaniambia anayonauli ya kuja huku ni mimi nimpatie ruhusa, lakini swala la yeye kutoroka home kwao linaniumiza kichwa ukizingatia ni binti mdogo tu sijui hata kama anafikisha miaka 19 , dhambi ya kumuharibu mtoto wa watu sitaki inipate kikombe hiki kiniepuke, tatizo ni wazazi wake wakinikamata pia huyu mtoto yuko kwenye foolish age ana high expectation kwangu wakati me napiga mechi za kirafiki, and you know something iam a good dude japokua nakula hapo ila sitaki kum demage mtoto wa watu jambo lingine swala la yeye kutoroka home anapata wapi huu ujasiri mtoto mdogo kama huyu vichwa viwili vinapingana kwa sasa bado sijapata jibu sahihi.
UPDATE
namaanisha kwamba anataka kuja kukaa kwa sometime yeye anasema atajua atakavyoondoka na kurudi home swala hilo nimuachie yeye we are on different region so she has to take the bus the thing that iam afraiding , what if something happens on her way here, it is very risky.
Sent using Jamii Forums mobile app