hanzagira
Member
- Jun 6, 2018
- 32
- 31
habarini wakuu nipo kwenye ugomvi mzito na msichna wangu ambaye uhusiano wetu toka uanze ni wa muda kiasi kama miaka miwil hivi.
na tatizo kubwa liliopo ni utofauti wa dini zetu yeye ni mkristo na mimi ni muislamu.
Sasa kwa wale ambao mmewahi pitia changamoto kama hii naombeni ushauri wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
na tatizo kubwa liliopo ni utofauti wa dini zetu yeye ni mkristo na mimi ni muislamu.
Sasa kwa wale ambao mmewahi pitia changamoto kama hii naombeni ushauri wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app