Tunaoa ili iweje

Tunaoa ili iweje

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,202
Je tunaoa ili iweje?

1:Kufanya mapenzi
2:Kuzaa watoto
3:Kujenga nyumba
4:Kupata msaidizi
5:Kusaidiana kazi
6:Kupikiwa
7:Kufuliwa nguo
8:Kulala pamoja

Lakini tukumbuke ata usipooa hivyo vyote utavipata tena kwa wakati sahihi na kwa furaha kuliko ata kwa yule aliyeoa,

Je tunaoa ili tujipe majukumu? Lakini nalo sio sababu kwa sababu ata usipooa bado lazima utakuwa na majukumu

Je tunao kwa sababu gani? Au tunaoa tu kwa sababu tuliona flani kaoa?

Kuna umuhimu gani wa kuoa? Kwani ni lazima kuoa?



CC Zero IQ
 
Ili kukamilisha mtindo wa maisha


If it isn’t perfect ,it’s not good enough
 
Kupata papuch kwa urahisi,maana ukisogeza mkono tu hiyo,umepata tofauti na kuvizia vizia tu.
 
Ni ibada kwetu waislam kama ibada nyengine na ni nusu ya uislam | izo papuchi bila ndoa ni miongoni mwa dhambi kubwa, mtoto bila ndoa ni dhuruma kubwa Assume wewe ulizaliwa nje ya ndoa nk.

Kubwa ibada kwasababu dhumuni kubwa la kuumbwa kumuabudu Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom