Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Naomba niseme kua maisha yamebadilika na sio kila mtu anaetafta mchumba mtandaoni kua hafai.
Baada ya kutoa hiyo tahadhari narudi kwenye mada, wanawake wengi wanaotafta wanaume humu jf wengi hua ni reject. Huu ni utafiti wangu binafsi baada ya kuhold multiple accounts humu.
Wanawake wengi wanaokuja humu na masharti kibao na vigezo viingi ukikutana nao unaweza ukalia, ni reject kabisa. Kuna mmoja alitoa vigezo kama 200 kwa mwanaume anaemtaka, ukisoma post zao unaweza kudhani labda ni ma manzi wa ukweli, onana nao unaweza kutamani hata uzime simu umkimbie. Wengi ni vimeo, single moms, shapeless and polygons. Unakuta mtu yuko kama sufuria ya ugali, tumbo kubwa kama mfuko wa simenti.
Naomba ieleweke kua hapa sijataja mtu wala sijatoa siri ya mtu specific, nimesema tu kwa ujumla kutokana na uzoefu wangu.
Tahadhali, wanawake ishini kwenye uhalisia. Unakuja hapa unamwaga vigezo kibaaao za mwanaume unaemtaka kumbe wewe huna hata sifa chache zinazoendana na mwanaume unaemtaka huna.