Utafiti wangu wakichinichini

Utafiti wangu wakichinichini

Diason David

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Posts
7,556
Reaction score
7,386
*yani mahusiano ya siku hizi kama mwanaume hujipendekezi kupiga simu,kuhongahonga na kutumatuma vimeseji meseji basi hayo mahusiano yanakufa*[emoji12][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
But, Demu kama unaanza kumvizia sio mbaya kujiptndekezapendekeza ili akuzoee na akuelewe zaidi... Kadri utakavyokuwa karibu take ndipo naye atakuzoea mwsho wa siku mtumwa atakuwa yeye
 
Nitakafamyia kazi nirudishe feedback
 
Mi nimeanza anza na kadada kamoja hivi kanajifanya kajeuri sana na kajuaji humu jukwaani... Kataingia tu
But, Demu kama unaanza kumvizia sio mbaya kujiptndekezapendekeza ili akuzoee na akuelewe zaidi... Kadri utakavyokuwa karibu take ndipo naye atakuzoea mwsho wa siku mtumwa atakuwa yeye

Sent by anonymous user
 
*yani mahusiano ya siku hizi kama mwanaume hujipendekezi kupiga simu,kuhongahonga na kutumatuma vimeseji meseji basi hayo mahusiano yanakufa*[emoji12][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Mahusiano ya saivi bila kutumia akili bc utabaki kuugulia kila siku maumivu so lazima uongee jombaa ukianza mapenzi mapya teka kwanza hisia za mwenza wako mpe muda wako badaye Anza kujilia tunda utakavyo tena atakuletea ata usiku wa manane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Uvivu tu wa kindezi wa wanawake, kwani effort ya mahusiano inatoka upande mmoja au pande zote mbili?
 
Mahusiano ya saivi bila kutumia akili bc utabaki kuugulia kila siku maumivu so lazima uongee jombaa ukianza mapenzi mapya teka kwanza hisia za mwenza wako mpe muda wako badaye Anza kujilia tunda utakavyo tena atakuletea ata usiku wa manane
Sent using Jamii Forums mobile app
One step ahead mkuu
 
Back
Top Bottom