Kupata rafiki wa kweli si rahisi

Kupata rafiki wa kweli si rahisi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,104
Reaction score
64,071
Kupata rafiki wa kweli na wa kudumu si rahisi...wengi ni wanafiki na wanaweza kukugeuka muda wowote ule,kupitia hii picha tujifunze.
rafiki.jpg
 
Picha ya zamani ilipigwa mwaka 1948,na ya pili ni mwaka 2003;eneo lile lile.
 
Kwa kifupi,mwanadamu haaminiki
awe mkeo
awe mumeo
awe mtoto wako
awe mzazi
awe ndugu
ndo maana police kuna kozi inaitwa tarajia usichotarajia wakti wowote.
Mimi simuamini yeyote zaid ya nafsi yangu tu, ndo kabisaaaaaaaa,
siwaamini kwa chochote,nikishawakula biashara basi.
 
Raha Sana, wish niwe na rafiki Wa design hiyo...people take advantage of friendships hadi unakata tamaa. Wtz wachache Sana wanaelewa value ya urafiki kama hao wabibi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vigumu sana kupata rafiki wa namna hiyo,labda iwe bahati tu...mfano mzuri chukulia uliokuwa unasoma nao au kucheza nao mkiwa wadogo,sasa hivi wako wapi?
 
Ndugu wa kweli hakuna karne hii,ije kuwa rafiki,!!!![emoji849]someni nyakati wakuu
Hizi ndio dalili za kiama
Mpaka mvua zinagoma waumini wa dini mbali mbali wanasali kuomba mvua,hamjiongezi tu,,,!!!!![emoji1321]‍♂️
 
Ni vigumu sana kupata rafiki wa namna hiyo,labda iwe bahati tu...mfano mzuri chukulia uliokuwa unasoma nao au kucheza nao mkiwa wadogo,sasa hivi wako wapi?
As people grow mnakua mnaenda direction tofauti shule tofauti mara mnahama and things like that. Na kupata a life time friend sio lazima uwe umesoma nae au umecheza nae. Mnaweza kutana ukubwani na mkawa the best of friends....kua na rafiki wa hivyo ni kama soulmate
 
Back
Top Bottom