Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

TUSAIDIANE HAPA Leo ni siku ya birthday ya mke wako. Ameamka asubuhi mapema amevaa amependeza anakuaga anakwenda kazini. Mida ya saa nne unakwenda kazini kwake ukiwa na maua na keki ili...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Natumaini wote ni wazima wa afya . Mimi nina mdada ambaye tunasoma naye chuo kimoja sasa ilipofika kipindi cha mitihani dada akawa anapenda kusoma na mimi karibia kipindi chote cha mitihani . Basi...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari zenu Kijana mwenzenu baada ya kuona umri wazidi kuyoyoma na nguvu bado zipo nimeamua kutafuta ubavu wangu ili tuweze kuyajenga tuwe na familia(maisha yenyewe mafupi haya) Sifa zangu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ukubwa sahihi wa Uume ni 6-8 inch. Chini ya hapo ni haki aitwe Kibamia au zaidi ya hapo ni haki aitwe Dushe au over-size. Sasa Ukubwa sahihi wa Uke ni Upi? maana kuna wenye mabwawa...akikutana na...
2 Reactions
46 Replies
12K Views
Kila mwanadamu ana maisha Fulani aliyopitia hasa katika suala la mapenzi , utotoni tumecheza sana Mara kamfichamo Mara kombolelera harusi za utotoni lakini Mimi binafsi nilienda Kawetele enzi hizo...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari; Naomba niwasimulie kisa hiki , Mimi ni muajiriwa ofisi fulani hapa jijini dar . Nina muda usiopungua miaka kumi na miwili tangu nijiunge na ajira hiyo.kabla ya kujiunga na kazi hiyo...
23 Reactions
91 Replies
11K Views
Wanawake wengi hulalamika kwamba hawalidhishwi na wenzi wao kimapenzi.ila amini nawaambieni 95% inasababishwa na wanawake wenyewe Unakuta mdada umelala nae anakugeuzia mgongo .sasa nakuandaaje...
6 Reactions
63 Replies
5K Views
Unakuta Mtu hawasiliani nawe hata kwa Mwezi mmoja hadi hata mitatu lakini ukiweka tu Picha ya Demu au Mwanaume katika WhatsApp dp yako haraka sana utaona anakusalimu Kiufupi mno ila maelezo na...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu salama!? Mi naishi mbali na wife ambaye nimezaa nae watoto wawili ,mmoja wa miaka 7 na mwingine ana miezi 5 Na nipo na huyu mwanamke since 2011 Yeye anafanyia kazi mkoa mwingine nami...
2 Reactions
86 Replies
10K Views
Nipo na rafik yangu wa kitambo sana kama miaka nane hiv, Ni mtu at least naweza muita rafiki, Nivigumu kumake new friends unakuta washikaji wa zaman ndo wale wale, Once i find out that ur royal...
0 Reactions
2 Replies
630 Views
DADA ZANGU : Usi mdharau Mwanaume asiye na hela halafu anakupa elfu 5 wakati yeye kaingiza elfu 10 kwa maana mmegawana nusu kwa nusu. Ikiwa na maana Kakupa 50% ya kipato chake hivyo kakuthamini...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
nahitaji rafiki wa kike ambaye atakuja kuwa mchumba na hatimaye mke wangu ila atakayeweza kuridhika na huu ukweli wangu wa kimaisha kwa sasa. ni kwamba kwa sasa sina kazi wala pesa kwani nimetoka...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
WANAUME HEBU AMKENI BHANA ACHA UKUKU KUSAHAU MUDA MFUPI Mkeo anakuaga leo anakwenda saloon au kwenye kikao cha kina mama, anaoga anaingia chumbani anaanza kuvaa, anashika chupi ya kwanza anataka...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Ushawahi kucheat? Kwa nini ulifanya hivyo? Je baada ya kucheat ulijisikiaje au mpaka sasa unajisikiaje mbele ya huyo ulomcheat? Kuna afadhali/ahueni yeyote uloipata baada ya kufanya hivyo...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Mambo vipi.. Unajua kuna wanaume/vijana wa kiume wanaamini au wamekaririshwa kuwa kupiga magoli mengi ndio kuonyesha kuwa wewe ni mwanaume... Huu ni ufala Sikiliza wewe unayeamini hivyo. Katika...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Always huwa tunapenda sisi ndio tuwe tunawagonga mademu wa wenzetu sio wa kwetu kugongewa, Binafsi huwa naumia ata nikikuta mpenzi wangu kasave jina la boy mwingine Kwa phone yake ata kama hana...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau niende moja kwa moja kwenye mada. Ukifuatilia kwa sasa hali imekuwa tete sana hasa kwa dada zetu. Wanazisaka ndoa kwa fujo wengi wamechanganyikiwa sababu umri unaenda, anazidi kuzeeka hata...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Baada ya kupiga nao stori kwa muda, nikaamua kuwauliza swali la kichokozi, na ikawa hivi:- Mwalimu Msemakweli: Nani maishani mwake anatamani angezaliwa mwanaume? Wasichana Form One: Kati ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Anaitwa Ustaadhi Hassan Thabit a.k.a Mgonga Bure. Naomba tuifanyie Kazi hiyo a.k.a yake tafadhali ili tuweze kuona ana Kipaji gani ambacho kina umuhimu wake katika Jamii yetu na labda Wanadamu...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wasaalam members wote humu...rejea tangazo langu hapo juu.. baada kutafuta mwanamke mwaminifu na mcha mungu kwa muda mrefu na hatimaye imeshindikana kumpata kwa kizazi cha sasa..baada ya wengi...
1 Reactions
65 Replies
10K Views
Back
Top Bottom