MC44
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 2,169
- 3,310
Nilikuwa najiuliza sana inakuwaje mwanaume mwenye akili timamu unamwacha mwanamke ?
Mama zetu walikuwa wepesi sana kueleza mabaya ya baba hata wakaachana.....lakini sijawahi kusikia baba anasema mapungufu ya mama.
Wanaume wengi hawaelezi mapungufu ya wake zao bali wanawake ndo hupandikiza kwa watoto dhidi ya baba zao.
Wanawake wengi wana mambo ya ajabu sana.
nimekaa kenye ndoa miaka 6 lakini nimeona mengi.....