Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nakupenda sana tena hakuna kifani nashukuru kuwa upo na mimi tokea mpweke mpaka sasa umenipa matumaini . Naishi kwa furaha na kwa upendo kisa unavyonipaga moyo unavyonipaga mawazo yakutokata...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Wanaume now days wanalalamika sana na kutushukia wanawake kupenda pesa na kutamani vitu vizuri, cha kushangaza hata waliooa hawawaamini wake zao, nachojiuliza hivi tunakwenda wapi kizazi hochi na...
3 Reactions
100 Replies
7K Views
Dini imekuwa kama biashara kubwa siku hizi, lakini zaidi ya biashara udanganyifu, uongo, utapeli na ulozi vimejumuishwa humo na waathirika wakubwa wakiwa ni mabinti na akina mama wenye kutafuta...
8 Reactions
71 Replies
53K Views
Nakumbuka tuliachana alipogundua kuwa yale malengo niliyomuahidi kabla mzee Magu hajaingia madarakani hayatatimia Maana of course wahitimu wengi tumejaa mtaani huku wengi wakiwa wamekata tamaa ya...
53 Reactions
237 Replies
14K Views
Jamaa anamlaumu Demu wake amemtegeshe Mimba kwa kigezo aliuliza kama amwage ndani au nje demu akachagua ndani... Demu anajitetea wakati wa tendo asiaminiwe sababu hakua kwenye nafasi ya kufanya...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Hata kama una uwezo wako mkubwa wa kifedha, ukipenda sana kutongoza wasichana wadogo na wenye maisha duni ambao kwao maskini sana ipo siku watakulia kete, lazima kila kukicha utakuwa unasomewa...
11 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakuu salama...? Naomba kutoa dukuduku langu, kwa kipindi cha miezi 6 nimekaa hapa mjini nimegundua tatizo moja kubwa sana la afya ya kinywa hususani kwa dada zetu. Yaani unakuta mrembo yupo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Thread closed
3 Reactions
204 Replies
14K Views
Mumewake Bahati Bukuku alikuwa na hawara ambaye naye ana mume akitesa naye kwa rahazao na kusahau kabisa ndoa yake. Mwanamke huyo wa nje alionyesha dharauiliyokithiri dhidi ya Bahati Bukuku...
0 Reactions
10 Replies
17K Views
Naomba niseme tu wazi bila kumung'unya maneno...TANZANIA KUNA UTUMWA TUMEUHALALISHA KWA JINA LA (WAFANYAKAZI WA NDANI/WADADA WA NYUMBANI/AU DADA WA KAZI ZA NYUMBANI) Yaani wengi katika familia...
9 Reactions
51 Replies
4K Views
Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake, Jana kanikuta kwene mambo...
7 Reactions
148 Replies
16K Views
Natumai pasaka inaenda poa Hapo ulipo.. Ni kawaida Kwa binadamu kuwa na hisia na mtu ambaye hawezi kuwa wake..hata iwe vipi.. Mimi Kuna mwanamke mmoja nampenda Kinoma..ila hawezi kuwa...
6 Reactions
259 Replies
15K Views
Habari zenu wanajanzi. Nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Muda mrefu sasa. Ninampenda sana kwakweli. Nimekuwa nikijipinda sana ili kumfurahisha kwani nimekuwa nikimnunulia viatu, mikoba...
3 Reactions
134 Replies
13K Views
"We live in a generation of not being in love
And not being together
But we sure make it feel like we're together
Because we're scared to see each other with somebody else" there is an antagonist??
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Aliamka asubuhi na mapema kufagia Uwanja wa nyumba. Jirani na nyumba yake akamuona mwanaume akifagia. Hakuamini. "Mwanaume, muda kama huu aamke na kufagia, oh mke wake ana raha kweli."...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za usiku wanajamvi !!!! kama kichwa kinavyo jieleza . Mimi debless nimewaza sanaa juu ya jina zuri la kumpa mtoto wa kiume .Nikajikuta na Jina hili "Bright " kichwani mwangu .Sasa nataka...
0 Reactions
32 Replies
12K Views
yule aliezaliwa kwa ajili yangu?yule tuliambiwa tutakuwa mwili mmja yule ambae ataongeza kicheko changu??yule atakaenipa bega lake nifiche machungu yangu uko wapi???
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Wadau nani saizi anapendana leo weekend naniwapi? Hivi umeshawahi kudaata na mme /mke wamtu? Nailikuwaje naomba mnijuze jamani. Je kwa wale walioshikwa naomba mnijuze pia
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Waku habari za usiku Niko naugulia Dengue hivyo leo sijatoka hapa ninapo kaa kuna mpangaji anamtoto weke wa kiume umri miaka 5 au 6 chekechea pia na mtoto wa nyumba ya jirani umri miaka 8 kavulana...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Wadau nimeamua kubaliana na hali halisi, nampenda ndio ila ngoja nitafute pesa kwanza maswala ya mahusiano niweke kapuni kwanzaa, ni mwanamke ambae nampenda sana ni mzuri sana sijawai ona...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom