Watoto wetu wanaharibika kwa ushoga

HaMachiach

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
3,399
6,077
Waku habari za usiku Niko naugulia Dengue hivyo leo sijatoka hapa ninapo kaa kuna mpangaji anamtoto weke wa kiume umri miaka 5 au 6 chekechea pia na mtoto wa nyumba ya jirani umri miaka 8 kavulana pia sasa wamekutwa kwenye pagala huyu wa miaka na 8 amemvua huyu wa miaka 5 nguo alafu anamchomeka vidole matakoni na kenyewe kanajishika makende isee tumeshangaa sana japo wamechapwa ila ndio hivyo tena kwa kweli wazazi tujjitahidi kuwa angalia watoto wetu wanacheza na nani na wapi
 
Pole sana kwa Dengue kwanza. Japo sijawahi kukaa sana Dar ila siyo mkoa mzuri kulea mtoto.

Bora nilee mtoto Geita kuliko kwenda naye Dar akiwa hajajua mema na mabaya.
Nafikilia wa kwangu anamiaka miwili kasolo na anacheza nao sasa nadhani nimpeleke kwa bibi yake mkoani
 
Utafanya jambo jema, mikoani huo upuuzi bado haujafika kwa watoto na hata ukiona mtu mzima yupo mkoani anafanya huo upuuzi ujue alianza akiwa mdogo.

Ni ngumu mtu mzima mwenye kujitambua kubadilishwa matumizi na yeye akaona sawa tu. Kwa kweli tupo wakati mgumu kwenye malezi ya watoto/vijana wetu.
 
Kipindi fulani nilikuwa Dar kuna kundi moja la watoto wana miaka chini ya 16 walikuwa wanatembea na kuandika kuta za nyumba kuwa sisi MADRID (Mfano) ni mashoga.

Ukiwatazama ni watoto wadogo sana na eneo lile jamii inawajua vizuri tu. Nikafanya mambo yaliyonipeleka nimekuja kuishi na wanyama kidogo wao wana akili.
 
Mtoto wako akifikisha miaka miwili ukianza kumfundisha kutumia potty uwe unamueleza umuhimu wa kutunza sehemu zake za siri. Mumbie atakae jaribu kuzigusa akueleze.

Usipende kuwaacha watoto bila ya uangalizi wako mwenyewe au dada wa kazi kama uko kazini.

Wanaume mkiamua kuzaa punguzenu muda wa kukaa baa na kunywa bia/K-vant. Tumieni muda mwingi na watoto wenu.
 
Huko dar mabalaa yote yenu huku dengue kule ushoga,mafuriko,msongamano etc,hamieni hata congo drc
Waku habari za usiku Niko naugulia Dengue hivyo leo sijatoka hapa ninapo kaa kuna mpangaji anamtoto weke wa kiume umri miaka 5 au 6 chekechea pia na mtoto wa nyumba ya jirani umri miaka 8 kavulana pia sasa wamekutwa kwenye pagala huyu wa miaka na 8 amemvua huyu wa miaka 5 nguo alafu anamchomeka vidole matakoni na kenyewe kanajishika makende isee tumeshangaa sana japo wamechapwa ila ndio hivyo tena kwa kweli wazazi tujjitahidi kuwa angalia watoto wetu wanacheza na nani na wapi
 
Mtoto wako akifikisha miaka miwili ukianza kumfundisha kutumia potty uwe unamueleza umuhimu wa kutunza sehemu zake za siri. Mumbie atakae jaribu kuzigusa akueleze.

Usipende kuwaacha watoto bila ya uangalizi wako mwenyewe au dada wa kazi kama uko kazini.

Wanaume mkiamua kuzaa punguzenu muda wa kukaa baa na kunywa bia/K-vant. Tumieni muda kwingine na watoto wenu.
Wababa wapo busy na bar na mabebz wapya. Jukumu la kulea watoto wao wa kiume wanaiachia jamii, mama na house girl. Hopeless fellas
 
Waku habari za usiku Niko naugulia Dengue hivyo leo sijatoka hapa ninapo kaa kuna mpangaji anamtoto weke wa kiume umri miaka 5 au 6 chekechea pia na mtoto wa nyumba ya jirani umri miaka 8 kavulana pia sasa wamekutwa kwenye pagala huyu wa miaka na 8 amemvua huyu wa miaka 5 nguo alafu anamchomeka vidole matakoni na kenyewe kanajishika makende isee tumeshangaa sana japo wamechapwa ila ndio hivyo tena kwa kweli wazazi tujjitahidi kuwa angalia watoto wetu wanacheza na nani na wapi
Ivi dar kuna nini mbona mbona mambo kama hayo yameshamiri sana huko?
 
Bahati mbaya tutasoma hapa na tutaacha ila siku hizi wazazi tumejisahau sana. Kuna vitu vya kipuuzi tunavipa kipaumbele kuliko malezi ya watoto wetu, wakishaharibika ndio tunastuka.

Tustuke mapema na tuwe kwenye maisha yao. Its better to spend time with our kids than to spend money on our kids.
 
Back
Top Bottom