Maisha na mahusiano

Maisha na mahusiano

francis kibiki

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
476
Reaction score
521
Wadau nimeamua kubaliana na hali halisi, nampenda ndio ila ngoja nitafute pesa kwanza maswala ya mahusiano niweke kapuni kwanzaa, ni mwanamke ambae nampenda sana ni mzuri sana sijawai ona mwanamke mwingine zaid yake ila kila nikifikilia naonaa ntakimbiwa then niumie mim , wenye magar na pesa zao naona wanafukuzia sana bi dada nakupenda sana ila naona nimelima shamba la miwa katikati ya shule aiseee
 
pole kijana kwa kukata tamaa.
inaonekana bado mvulana
yan hapo dem unamiliki huku na hela unazisaka. sasa ukizipata ukiwa na miaka 79 utafaidi nn sasa.
uskate tamaa pigana hadi tone la mwisho labda kama humpendi
 
Umechukua maamuzi mazuri ila hupaswi kumuacha mpenzio kwa hofu.. Jiamini ila tafuta pesa ata mimi mapenzi nimeweka kapuni nitafute mkwanja
 
Aisee... Acha mengi yabaki moyoni,
Lakini ukitaka mfurahie safari basi ni vyema mkaanza pamoja, kuepuka mambo ya kuhadithiana safari ilivyokuwa huko njiani, mtachoshana
 
Tafuta pesa but kamwe huwezi acha mapenzi ndio mana ally kiba ameimba mapenzi yana rani dunia
 
pole kijana kwa kukata tamaa.
inaonekana bado mvulana
yan hapo dem unamiliki huku na hela unazisaka. sasa ukizipata ukiwa na miaka 79 utafaidi nn sasa.
uskate tamaa pigana hadi tone la mwisho labda kama humpendi
asante mkuu
 
Wadau nimeamua kubaliana na hali halisi, nampenda ndio ila ngoja nitafute pesa kwanza maswala ya mahusiano niweke kapuni kwanzaa, ni mwanamke ambae nampenda sana ni mzuri sana sijawai ona mwanamke mwingine zaid yake ila kila nikifikilia naonaa ntakimbiwa then niumie mim , wenye magar na pesa zao naona wanafukuzia sana bi dada nakupenda sana ila naona nimelima shamba la miwa katikati ya shule aiseee
Mkuu hakuna raha kma unatafuta pesa alafu kuna mtoto mzuriii anayekupa faraja aisee usimuache tafuta pesa uku ukiwa naye unaweza kuja kuzipata pesa ukiwa na miaka35 alafu nguvu za kiume zimepungua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaisi kuna demu atakuelewa na pesa zako watakuwa wanakuzuga tu wale pesa zako ila uyoo uliyetoka naye mbali atakuelewa na kukushauri ufanyaje
 
kwa muandiko huo....wa kuandika kama unakimbizwa....sina uhakika kama ata shule umemaliza...soma kwanza...tuliza akili yako....mapenzi tumeyakuta na tuta yaacha acha kuhangaikia mapenzi...soma sana
 
Hahaha na wanawake wazuri Sana wengiwao uwaga majingaaaaa kuanzia darasa hadi kwenye maisha...

Tafuta mwanamke wa kawaida mwenye akili na uzuri wakawaida huyo awe mchepuko.

SI unajua hao wanapendezaga sana kuwa michepuko
 
Kutokujiamini ni ugonjwa aisee[emoji134]
 
Back
Top Bottom