Nani alaumiwe

Nani alaumiwe

feysher

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
2,656
Reaction score
2,775
Jamaa anamlaumu Demu wake amemtegeshe Mimba kwa kigezo aliuliza kama amwage ndani au nje demu akachagua ndani...

Demu anajitetea wakati wa tendo asiaminiwe sababu hakua kwenye nafasi ya kufanya maamuzi sahihi labda angeulizwa kabla ya tendo...
 
Huyo aliyemwaga ndani alishindwa nini kuingia na kuitoa Mbegu yake chap kabla haijaanza kumea?
 
jamaa kama anajijua ni ngumu kujicontro wakat wa tendo.... ni bora awe anatumia condom, kiufupi hamna cha kumlaum mpenz wke..wajiandae kulea t
 
Asante mkuu ingawa jamaa hataki kuelewa somo
 
Back
Top Bottom