Waku habari za usiku Niko naugulia Dengue hivyo leo sijatoka hapa ninapo kaa kuna mpangaji anamtoto weke wa kiume umri miaka 5 au 6 chekechea pia na mtoto wa nyumba ya jirani umri miaka 8 kavulana...
Wadau nimeamua kubaliana na hali halisi, nampenda ndio ila ngoja nitafute pesa kwanza maswala ya mahusiano niweke kapuni kwanzaa, ni mwanamke ambae nampenda sana ni mzuri sana sijawai ona...
Lengo si kuwakejeli watu hao bali ni kisa tu kama visa vingine. Kuna nyuzi za madogo wa 26> ages wamedata sana kwa single mothers.
Back to the story;
Nina mdogo wangu mmoja ana miaka 24, na...
Ukijiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi na demu maskini njaa njaa ni tabu sana
Kila siku anakua omba omba yani hata vocha ya jero anakuomba
Nyie wadada maskini maskini ebu mjishughulishe sio...
Wakuu Salam,
Biashara tajwa ni moja Kati chanzo kikuu cha mapato kwa dada zetu wengi na walio Warembo wamijini.
Wengine mpaka wamejenga nyumba nzuri tu, na Wana drive gari kalikali mijini.
Hii...
Habari za mchana waungwana.
Naombeni wenye mahaba na miziki ya malavi davi mnisaidie. Kasie Napenda sana mziki na nyimbo bin kuimba, na huwa natumia sana maneno ya nyimbo kama ujumbe as...
Naitwa Joseph naishi na VVU nna miaka 32, naishi Mbeya ni mfanyabiashara, mkristo na mcha Mungu elimu yangu diploma na sina mtoto.
Natafuta msichana mkristo miaka 24-28 mkristo na mcha Mungu...
Naomba niwajulishe nyie mabinti wa kuanzia miaka 25 na kuendelea, madogo wa miaka 18 hadi 20 wamemaliza mitihani ya kidato cha sita, wanaingia rasmi mtaani.
Sasa hivi ni halali kabisa maana...
Nina shemeji yangu yeye ana 39 na mchumba wake ana 22.
Maneno ya watu anahisi labda ndoa yake itakua na vijambo kutokana na tofauti ya umri kwa miaka 17.
Shemeji yangu ana kazi na amesoma vizuri...
Wadau habar za usku.?
Ndg zang tuwasaidie wadada kutupia picha mbalimbali za magauni mazuri ya sendoff rangi mbalimbali maana kiukweli wanateseka sana kuhangaika mjini kutafuta maguni au vitambaa...
Wanaume nadhani tumeshaelewa nini nina maanisha hapa. Usije hata siku unasema unamfuatilia mwanamke hutafanikiwa hawa wenzetu wanasiri kubwa sana huwa wanaziweka moyoni. Wanaroho zaid ya chuma...
Naulizia mitaani huko na vijijini.naomba kueleweshwa kwa Hali hii ya ukosefu wa pesa biashara ya mapenzi imekuwa adimu au ndio imeshika Kasi?maana isije Kuwa jamii Ina lost kwenye hili pambano la...
Ipitishwe Sheria Bungeni, atakaye mwacha nyuma mke wakati wakitembea apigwe faini, na LAZIMA washikane mikono huku wakitembea, na hii ni kuanzia Raisi wa JMTZ hadi huku chini kwa raia, ...
Wanaume, hebu leo tuwekane wazi kuhusu suala zima la kusitisha mahusiano.
Unakuwa na mpenzi wako, mnaenda poa tu lakini inafika mahala aidha mapenzi yanakufa tu natural death, au unapata mpenzi...
Enyi kinadada na kinamama tuambieni kwanini kuna urafiki mkubwa sana kati ya wanawake na wanaume mashoga?
Unakuta mwanamke kaongozana na mashoga,unakuta mke ndo unarudi kutoka kazini kakaa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.