Nakupenda Bure Tu

Nakupenda Bure Tu

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,762
Nakupenda sana tena hakuna kifani nashukuru kuwa upo na mimi tokea mpweke mpaka sasa umenipa matumaini .
Naishi kwa furaha na kwa upendo kisa unavyonipaga moyo unavyonipaga mawazo yakutokata tamaa.
Babe nakupenda sana hujui tu nilivyokupenda ninavyokuamini nakukujali.
Sijui nilini utakapowaambia ulimwengu jinsi ninavyokupenda kama nini.
Siku hiyo sijui nitakuwaje pale nitakapogundua washakunaku na wasiompenda KATOTO KAZURI kuwa naye kapata faraja la moyo wake.
Hao wapambe wasiopenda penzi letu likue na sura za mikorogo watakapokunywa sumu kidedea tumeshinda na kupewa kombe kama la Simba.
Maisha yetu ni yetu ila ninachokuomba uzidi kunipenda usiwasikilize watu wakikuambia mabaya kuhusu mimi.
I LOVE U najua sio lazima niseme ni nani ila jua kuwa upo humu nanina kupenda bila kifani .
 
Hayo maneno ndo yalimwondoa mzee wetu duniani kabla ya siku zake. Wazee ka sisi haturuhusiwi kuyaambiwa na KATOTO KAZURI ka weye. Natangaza; SIKUPENDI SIKUPENDI kwanini nife kabla??
 
Mapenzi ndio yapo duniani
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Nakupenda sana tena hakuna kifani nashukuru kuwa upo na mimi tokea mpweke mpaka sasa umenipa matumaini .
Naishi kwa furaha na kwa upendo kisa unavyonipaga moyo unavyonipaga mawazo yakutokata tamaa.
Babe nakupenda sana hujui tu nilivyokupenda ninavyokuamini nakukujali.
Sijui nilini utakapowaambia ulimwengu jinsi ninavyokupenda kama nini.
Siku hiyo sijui nitakuwaje pale nitakapogundua washakunaku na wasiompenda KATOTO KAZURI kuwa naye kapata faraja la moyo wake.
Hao wapambe wasiopenda penzi letu likue na sura za mikorogo watakapokunywa sumu kidedea tumeshinda na kupewa kombe kama la Simba.
Maisha yetu ni yetu ila ninachokuomba uzidi kunipenda usiwasikilize watu wakikuambia mabaya kuhusu mimi.
I LOVE U najua sio lazima niseme ni nani ila jua kuwa upo humu nanina kupenda bila kifani .
 
Nakupenda sana tena hakuna kifani nashukuru kuwa upo na mimi tokea mpweke mpaka sasa umenipa matumaini .
Naishi kwa furaha na kwa upendo kisa unavyonipaga moyo unavyonipaga mawazo yakutokata tamaa.
Babe nakupenda sana hujui tu nilivyokupenda ninavyokuamini nakukujali.
Sijui nilini utakapowaambia ulimwengu jinsi ninavyokupenda kama nini.
Siku hiyo sijui nitakuwaje pale nitakapogundua washakunaku na wasiompenda KATOTO KAZURI kuwa naye kapata faraja la moyo wake.
Hao wapambe wasiopenda penzi letu likue na sura za mikorogo watakapokunywa sumu kidedea tumeshinda na kupewa kombe kama la Simba.
Maisha yetu ni yetu ila ninachokuomba uzidi kunipenda usiwasikilize watu wakikuambia mabaya kuhusu mimi.
I LOVE U najua sio lazima niseme ni nani ila jua kuwa upo humu nanina kupenda bila kifani .
Yaani, ahahahahahaaa hata kama unao watano humu, KILA MMOJA ATADHANI ANAAMBIWA YEYE..
 
Back
Top Bottom