We live in a generation of not being in Love.

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,511
"We live in a generation of not being in love
And not being together
But we sure make it feel like we're together
Because we're scared to see each other with somebody else"

there is an antagonist??
 
Stop crying and take it east chief...
 
Jumapili hiiyo. Ukiona hayo jua nyakati za mwisho zimekaribia! Changamka
 
"...Natamani sana ningepata wa kumpenda, hakika angenipenda katika hali yoyote ile..." Sasa sijui nafeli kwasababu tupo kwenye kizazi cha kutokupendana
 
Huwenda yupo mkuu ila kibaya huwenda kwako kuwa nae ikawa ngumu zaidi.
 
Kama yupo basi si ngumu kuwa nami.... Sema huenda Mwenyezi Mungu anazidi kumtengeneza awe mke mwema, mzuri na bora zaidi....
 
"We live in a generation of not being in love
And not being together
But we sure make it feel like we're together
Because we're scared to see each other with somebody else"

there is an antagonist??
Kama huna love ni ww..wengine huku tunapata raha hadi tunawaza kuongeza wa pili
 
Back
Top Bottom