Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naulizia mitaani huko na vijijini.naomba kueleweshwa kwa Hali hii ya ukosefu wa pesa biashara ya mapenzi imekuwa adimu au ndio imeshika Kasi?maana isije Kuwa jamii Ina lost kwenye hili pambano la...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ipitishwe Sheria Bungeni, atakaye mwacha nyuma mke wakati wakitembea apigwe faini, na LAZIMA washikane mikono huku wakitembea, na hii ni kuanzia Raisi wa JMTZ hadi huku chini kwa raia, ...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanaume, hebu leo tuwekane wazi kuhusu suala zima la kusitisha mahusiano. Unakuwa na mpenzi wako, mnaenda poa tu lakini inafika mahala aidha mapenzi yanakufa tu natural death, au unapata mpenzi...
10 Reactions
95 Replies
53K Views
Enyi kinadada na kinamama tuambieni kwanini kuna urafiki mkubwa sana kati ya wanawake na wanaume mashoga? Unakuta mwanamke kaongozana na mashoga,unakuta mke ndo unarudi kutoka kazini kakaa na...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Bifsi nimekuwa nawashangaa wanaowaacha wake zao kwakuwa tu kamfumania. Halafu cha ajabu yeye yupo na mchepuko mke wa mtu ambae bila shaka yoyote hadi alfajiri jamaa kajipigia halafu saa 4 anapewa...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Pamoja na kwamba kudanga ni utamaduni ama biashara kongwe nchini na kwingineko, asee kwa miaka hii ya karibuni KUDANGA kumekuwa kama LAZIMA kwa Dada zetu. Yaani mtu anadanga utadhani chakula. *...
3 Reactions
54 Replies
9K Views
kasi ya kuvunjika kwa ndoa imekuwa kubwa mno hasa hawa vijana wetu wanaoingia kwenye ndoa wakiwa na umri mdogo wengi ni wale walio chini ya umri wa miaka 30 nimeshuhudia ndoa zaidi ya 9...
12 Reactions
73 Replies
7K Views
Kwenye simu yako ya mkononi, mchepuko wako wa kike/kiume umeuandika jina gani ili mmeo/mkeo asiutambue? Mimi nimeupa jina BOSS WANGU, tena akipiga simu nikiwa na mke wangu, wakati wa kupokea...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za wakatii huu wadau. Nimeipata sehemwu nikaona sio mbaya nijashea nanyi mkupata kujua wanawake walivyo watu wa ajabu.... 1. Anaevaa mini-skirt halafu akikaa mahali anahangaika kujiziba...
10 Reactions
41 Replies
6K Views
imekuwa ni kasumba kuona mwanaume anaanza kufa kabla ya mke wake, na kama walikuwa na mali mke atalia wiki moja tu baada ya hapo ni kuzitumbua mali alizochuma na mmewe pamoja na Viben-ten wake...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Baada ya kuachana na yule mchepuko wangu wa chuo niliyegundua anatoka na dogo niliyekuwa nikiwasaidia wote nilitulia na wife kwa muda Baadae ikabidi nianze kutafuta replacement( wanafiki wengi...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
habari wana mmu, jamani swala kutongoza ni kama sayansi ya maneno kuya pangilia ,japo wengine ndio uwanja wao haswa! na wengne ndio huboronga kabisa kupelekea kukataliwa. kwa upande wa dada zetu...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
She lay in her cozy lounge one lazy Sunday afternoon watching her phone ring wondering whether to answer it or not until the caller hung up. Only to redial again. It was Moosa her best friend...
24 Reactions
786 Replies
53K Views
Habari zenu Ni kijana wa miaka 26 anamtafuta that one lady,my queen,la'azizi kitulizo cha moyo wangu.baada ya kukaa mda mrefu bila mahusiano yoyote kutokana na maswahibu mbalimbali ya...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Tulisafiri na jirani yangu tukitokea Morogoro, tulifika wote Kibaha lakini baada ya hapo siku muona. Nilifika nyumbani salama, nilipitia kwa Mangi nikikumbuka nyumbani sukari ilibaki kidogo, pale...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
*Jamani Raha ya mke ili ikamilike ni pale atapokuletea zawadi kubwa ya pekee ambayo ni mtoto, *Nikifikiria Miezi 9 ya ujauzito *Nikikumbuka Tabu alizopitia kipindi hicho *Kubwa kuliko Siku ya...
25 Reactions
173 Replies
25K Views
Tabia yake ya kukagua kagua simu yangu Kusikiliza maneno ya watu Kunilazimisha kupima Nimekosa mood kabisa hata ya kumgegeda ,nimetokea kumchoka ghafla kutokana na huu utovu wake wa nidhamu...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
MKE: Naomba nilipe hela ninayokudai MUME: Hela ipi mke wangu unayonidai? MKE: Wiki iliyopita nilitumia hela yangu kumnunulia Sara madaftari, halafu juzi Rama alikuwa anaumwa nikamnunulia dawa...
21 Reactions
107 Replies
14K Views
Mwanaumee kuwa katika mahusiano yamkini na dada Fulani uliyempenda then dada Yule anaanza mikato fulani sio kama kukupeleka peleka kama mbuzi Halafu jamaa zako wa kawaida hawakushauri chochote...
0 Reactions
5 Replies
841 Views
Jana wakati tunapiga piga story na masela nikamkumbuka man fongo na hii ilitokana na story tuliyokua tunaizungumzia ya ushemeji Sasa member mmoja akanisema man fongo kafungwa miaka 30 kisa kampa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom