Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Aise mimi tangu utoto napenda sana mabinti wenye hizi rangi adimu langi ambayo nikiiona nasisimka... Kwa yeyote anayejua mabinti kama hawa wanakopatika katika Tanzania hii pls help me..nikaoe...
21 Reactions
166 Replies
17K Views
Kwa sisi tunaoishi mjini hiki kisa changu kina jambo la kujifunza wapendwa. Iko hivi, mimi natokea mkoa mmoja uliopo pembezoni kabisa mwa nchi yetu. Nilipomaliza elimu ya chuo nilifanikiwa kupata...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Mzazi na mlezi
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Ndoa za waafrika zinahusisha familia nzima. Kitendo cha kutoa posa, ndoa mpaka watoto inahusha ukoo wa mke na wa mume. Ni kweli kuna wakati hisia zinapotea mnaishia kukaa ndani kama wapangaji...
6 Reactions
88 Replies
6K Views
Wanazuoni wanasema hivi, HAKUNA WA KUMTIA ADABU MWANAMKE ISIPOKUWA MWANAMKE MWENZIE... Mwanaume usihangaike kupambana na mwanamke wako...huyo humuwezi na hutomuweza...huyo dawa ni mwanamke...
4 Reactions
104 Replies
8K Views
MKE WA RAIS SEHEMU YA 002 Mwanaume akageuka kumtazama mwanamke akashangaa kukutana na mdomo wa bastola, bastola ambayo ilikuwa mikononi kwa mwanamke Yule. Macho Yalikuwa mekundu kwa Hasira...
24 Reactions
1K Replies
308K Views
Hiyo ndio mbinu yangu miaka yote ya kuepuka kumpa mwanamke mimba na ni mbinu yangu kali ya kupiga game heavy, Maana kufanya mapenzi kwangu kote nilishawahi tumia ndox(Condom) mara mbili tu tena...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu napata shida kumpongeza au kumpiga huyu mchungaji kwakua mimi ni sijui maandiko. Lakini kama vile anawasilisha mada nzuri sana....
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Maana hawa viumbe sio mchezo muda wowote na saa yeyote wanaweza kuchange, Ukimtendea wema kwa kudhani atatulia ndio kwanza atakuletea mapicha picha, Ukimtendea vitu vya kumkela na visivyofaa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Umekutana na mwanaume amefiwa na mkewe na ameachiwa watoto wadogo. Onyesha mapenzi kwa watoto. Unaolewa na umemkuta mama mkwe umri umesogea, mlee kwa mapenzi yote. Kuna sababu ya wewe kuwepo pale.
15 Reactions
17 Replies
2K Views
Habarini wadau. Huku dodoma ni hatari. Yaani siku hizi ukitoka out, wanaume wanavaa suruali za kubana na wengine kuvaa mlegezo kama wanaume wa kinondoni. Ukiulizia vipi hizi tabia, unaambia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna mtoto,baba,babu ,na baba yake na babu
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wataalam wa Masuala ya Wanawake na Uzazi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki wamegundua kuwa Wanawake wa nchini Kenya ndiyo wanaoongoza kwa Kutokupenda Kuvaa Chupi ( Nguo za Ndani ) tofauti na wa...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Habari zenu wana MMU Iko hivi hapo mwanzo mimi na mpenzi wangu tulikua tukichart na kupigiana simu vizuri tu lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nikimpigia simu lakini hapokei sim yangu na...
0 Reactions
77 Replies
24K Views
Baada ya Tanganyika kukumbwa na wanaume goigoi hadi serikali kuingilia kati ili kupata suluhisho la tatizo sasa rasmi wanaume wa Dar wameamua kuwatenga wanaume wa kinondoni! Hali inatisha hasa kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
-Maisha ya mahusiano ni magumu Sana kuliko hata maisha ya ndoa Boys wengi huwa wanachelewa sana kufanya maamuzi sahihi katika wakati sahihi na kuwakosa watu muhimu kwenye ndoa zao. -Brother...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni binti wa miaka kadhaa, ninafanya kazi kwa maana ya muajiriwa, nina mahusiano, sina mtoto Kiafya Status yangu ni HIV+ (ugonjwa unawapata binadamu so zngatia kauli ikiwa wewe ni binadamu...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Jamani hii kitu inanitatiza, mwanaume kupenda makalio, matiti na lips, macho au kusema umbo la kike ni kitu ambacho kina eleweka. Maana kuna vitu vingi unaweza kupata entertainment. Jamani...
5 Reactions
58 Replies
15K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana, Kama kichwa cha habari kinavyo someka hapo juu, Nilikuwa nafanya kazi katika ofisi fulani hapa town lakini nilikuja kusimamishwa kazi kwa siku moja tena...
2 Reactions
170 Replies
14K Views
Kwa mara ya kwanza,tangu nijiunge na jf leo ndo nimeweza kuandika kupitia engo hii maana mm niko very much interested na ukurasa wa siasa na habar ila huku uwongo mbaya. Naomba mnikarbishe...
2 Reactions
87 Replies
18K Views
Back
Top Bottom