Akina Dada mna shida gani na vinywa vyenu?

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,282
Reaction score
541
Wakuu salama...?

Naomba kutoa dukuduku langu, kwa kipindi cha miezi 6 nimekaa hapa mjini nimegundua tatizo moja kubwa sana la afya ya kinywa hususani kwa dada zetu.

Yaani unakuta mrembo yupo vizuri, anafanya kazi nzuri, ana position nzuri, anavaa smart lakini akifungua kinywa unatamani ardhi ipasuke uzame kwa jinsi kinywa kinavotema harufu mbaya, unakuta hadi pafyum anayotumia kwenye mavazi yake ni ya ukweli hatari ila kinywa sasa.

Kwa kukaa kwangu hapa ukiachana kuwa napiga project kwenye office kadhaa lkn pia nimefanikiwa kujinyakulia warembo wawili kipindi chote nimekaa hapa. Tatizo ni hilo hilo halafu unakuta wanapenda romance balaa. Anadata na kisses hata ukwepeshe anakomaa balaa huku sasa mimi najiuliza ina maana HAWAJIJUI?

Kigumu zaidi siwezagi kumwambia mtu kitu kama hicho, nakuwa naumia kichini chini tu na inanikatisha stimu balaa.

Naombeni wadada mjiangalie aisee its too bad kuanzia kwenye maofisi mpaka bar huko asilimia kubwa vinywa vinatoa harufu mbaya.

Simaanishi wadada wote, ila out of 10 nilio enteract nao nikiwa hapa 7 wana hilo tatizo.

Kinachouma zaidi ni wadada watanashati kweli kweli.
 
Haya dada zetu njooni huku mpimwe harufu za viywa vyenu kuna mtaalamu wa afya ya vinywa ametutembelea huku leo
 
💃💃💃💃 Hawa hapa wanakuja kujibu mashambulizi. Jiandae tu.
 
Wakuu salama...?

Naomba kutoa dukuduku langu, kwa kipindi cha miezi 6 nimekaa hapa mjini nimegundua tatizo moja kubwa sana la afya ya kinywa hususani kwa dada zetu.

Yaani unakuta mrembo yupo vizuri, anafanya kazi nzuri, ana position nzuri, anavaa smart lakini akifungua kinywa unatamani ardhi ipasuke uzame kwa jinsi kinywa kinavotema harufu mbaya, unakuta hadi pafyum anayotumia kwenye mavazi yake ni ya ukweli hatari ila kinywa sasa.

Kwa kukaa kwangu hapa ukiachana kuwa napiga project kwenye office kadhaa lkn pia nimefanikiwa kujinyakulia warembo wawili kipindi chote nimekaa hapa. Tatizo ni hilo hilo halafu unakuta wanapenda romance balaa. Anadata na kisses hata ukwepeshe anakomaa balaa huku sasa mimi najiuliza ina maana HAWAJIJUI?

Kigumu zaidi siwezagi kumwambia mtu kitu kama hicho, nakuwa naumia kichini chini tu na inanikatisha stimu balaa.

Naombeni wadada mjiangalie aisee its too bad kuanzia kwenye maofisi mpaka bar huko asilimia kubwa vinywa vinatoa harufu mbaya.

Simaanishi wadada wote, ila out of 10 nilio enteract nao nikiwa hapa 7 wana hilo tatizo.

Kinachouma zaidi ni wadada watanashati kweli kweli.
Hata wakaka ni tatizo la jinsia zote inawezekama ata wewe ila hujajitambua, wanaume wengine wanaharufu kama mabeberu
 
Mnhh......
Haohao huko Kwenu Dar aisee... Kazini kwangu wanawake wote vinywa vyao murua.
Don't generalize.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom