Hapa ni kwa jinsia zote. Unakuta uko na mpenzi, mke au mume hakujali sana wala hakuonyeshi mapenzi yoyote ya maana lakini akisikia unanyemelea mtu au unanyemelewa na mtu anakua mkali zaidi ya wale...
Kama una mpango wa kuoa, usichelewe sana. Usiwaze sana harusi, waza ndoa. Kama una kipato kidogo, fanya hima uoe. Wenzetu hawa huja na riziki nyingi. Utashangaa milango ya kiuchumi itakavyoanza...
Nimeonja pendo lako nikajua u mwemaaa,nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe!
Na upole wako Bwana,na huruma yako wewe,umenitendea wema usiopimika,Nitakushukuru na kukutukuza wewe.
Kina...
Habari wandugu kwa ujumla? Nadhani kuna wengine wana maumivu na wengine wanafurahia ndoa yao.
Kwanza kabisa natoa shukurani kwa Mshana Jr kwa uzi wako mkuu huu Ule msimu umeanza tena nimeupenda...
kila siku binadamu tunaishi kwa mipango, malengo na matamanio, shauku na Maono juu ya maisha yetu..
Hebu leo toa ya moyoni
Kwa kuanza na maneno haya "Ee Mungu......
Laiti ninge...
Umemtoa dem bar alafu umemleta Kwako umemnyandua vizuuri unalala.
kesho yake kabla ujaenda job unaamka unakuta ameng'arisha nyumba yote na akakupikia Chai ya nguvu kisha anadai anaomba muongee...
Habar zenu wana jf hasa wadau wa hili jukwaa pendwa.
Kuna mada hapo juu naomba tuidiscuss vizuri. Kuna watu wanapitia magumu sana hasa kwenye suala la mapenzi/mahusiano.Unakuta mtu toka aanze...
Wana MMU kwa yule ambaye alishawai mfumania mke au dem wake wakigegedana au wakiwa katika poz za mahaba ulijisikiaje??
Maana leo nimeona txt tu tumbo limetetemeka sijui itakuaje nimfuma anagong’wa
Wadau nina taarifa za mshkaj mmoja hv mtaani anapiga mchepuko wa baba yake mzazi na inavyosemekana Baba yake amegundua kwhyo anafikiria namna ta kumustopisha kijana.
Je wewe unaweza kupiga mzgo wa...
Hivi mwanamme siku hizi kutopewa utamu mpaka ndoa kunaongeza motisha ya kusubiri mpaka ndoa, je ataendelea kupambana mpaka ndoa au atatafuta mwingine atayempa wakati mipango inaendelea ya ndoa...
Kuanzia tarehe 1 mwez wa sita Tanzania itaacha rasmi matumizi ya mifuko isiyooza(mifuko ya plastic) ili kulinda mazingira. Napata ukakasi kidogo vp kuhusu condom zitaendelea kuwepo au nazo...
Hivi nyie wadada mnahisi wanaume tuna hela muda wote kama machine za ATM?
Demu unakutana nae unamtongoza anakubali
Hujawahi mgegeda,hujawahi mpiga hata kiss ndani ya siku 2 tangu akukubalie...
Hello wanaJF, baada ya pitapita zangu hapa JF nimeona kuna ukingano wa mawazo, baadhi ya WANAWAKE wanaona ni sawa kwao kuolewa na WANAUME wenye uwezo mkubwa wa kifedha au waliotoka kwenye familia...
Nilimtongoza mwanamke akanikubalia. Siku moja nikamuita kwangu tukapiga story muda flani halafu badae nikamuomba mzigo kistaarabu ila akagoma nikaona isiwe kesi nikamuacha. Saa sita usiku...
Habari zenu.
Natafuta mwanaume ambae endapo atakubaliana na hali yangu kimaumbile aweze kuwa Mchumba wangu na baadae awe Mume wangu.
Mimi ni mwanamke kamili isipokuwa ni She-Male yaani nina...
Ni ule msimu wa hapa Jamii Forums... Msimu wa kuandika mada nyingi za kuwakandia wanawake kwenye mahusiano na hata ndoa
Wanawake wenye tafakuri ndogo wanaweza kukasirika na kuona kuwa kwanini wao...
Katika harakati za kutokea baadh ya wanawake kuna changamoto kubwa ambayo hua nakutana nayo hasa nnapotongoza mwanamke yoyte nlobahatika kuongea nao
Mimi n mfanyabiashara na katika biashara yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.