Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

ANGALIZO: bandiko hili liwe chachu kwa watu wote hasahasa wanawake wanaopenda maendeleo ya kielimu. nimeileta mada hii MMU kwasababu naamini hili ndio jukwaa linalotembelewa sana na wanawake hapa...
6 Reactions
110 Replies
54K Views
Wadau Leo nimetoka kuchat na shemeji yenu ambae tumedumu miaka 5 ya uchumba. Kila mru akiishi geto lake leo ktk chatting zetu , mtoto imebidi afunguke amechoka kukaa uchumba kwa muda mrefuu...
3 Reactions
62 Replies
7K Views
DAVID: Beni Mshikaji wangu, mwezi wa nane nitafunga Ndoa. Me Ninaoa sasa. BENI: Haa David, wewe na Monica Mnafunga Ndoa? DAVID: Ndio Man, nimeamua nioe. Niko tayari sasa. BENI: Mbona fasta hvyo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna kiumbe niko nae hapa nimepiga sana Usiku huu naona kalala chakali kachoka na mimi nataka nipige kimoja cha Asubuhi niamke niende majengo nikachukue gunia za viazi, Sasa sijui nimuombaje ili...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari!! MIMI NI MWANAUME WA MAKAMO. NAISHI DAR ES SALAAM. UMRI WANGU,NAKARIBIA MIAKA 50. NINA UREFU WA FUTI 5 NA INCHI 7(SM 170). MAJI YA KUNDE. MWEMBAMBA. Nimejitokeza hapa kutafuta mwanamke...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hapa ndio watu mnapokosea.Mtu akikuambia I love you it means now at this moment .kesho mtu anaweza badilisha
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Uzuri huvutia wanaume, ila busara pekee ndio itakufanya udumu katika mahusiano. Ushawishi unaweza ukadaka utulivu wa mwanaume ila akili yako kubwa inaweza ikafanikiwa kumshawishi. Malalamiko...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana jukwaa habari ya wikiendi poleni na majukumu. Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu , mimi nikijana wakitanzania nimeleta mada hio hapo juu kama inavvyo onekana kwa...
5 Reactions
110 Replies
15K Views
Zamani wadau wanaume walikuwa wanahonga kabisa na wala hawana hiyana ya kuongopea bia kwa sana wanawake zao wana mambo mengi kibao ila sasa wanaume wanahonga ila kwa shida sana. Labda aruke...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Wadau sijui kwanini wanaume wanapenda wanawake zao wadogo kushinda wakubwa wanawajali sana kuliko wake zao wakubwa shida nini? Ningependa tujadili hili jambo wenye ndoa zao wanalalamika sana.
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Pamoja na mikiki mikiki yote ya maisha lakini tenga muda wa kuwa mtamu. Angalau kwa wiki mara moja tafuta siku ambayo mwanamke unaamua tu kuwa mtamu, huna kisirani, hulalamiki, unaweka shida...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Nawapa pole wanaume mnaotoa hela zenu na kuwapa wanawake kwa sababu tu ya mapenzi.Akiwa mkeo sawa ukimpa pesa sistaajabu Ila Kama Ni mipango ya kando michepuko halafu unaihudumia maisha yao na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nawasikia Mara nyingi wanawake wanasimuliana bila haya Wala uwoga kuhusu matukio na tecnique za Mambo ya kudanga.unakuta anawahadithia mbinu zote za kudanga.sasa Cha ajabu mpaka wanawake niliokuwa...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Nmetizama wanawake wengi siku zao za kuolewa wanakandwikwa na kupakwa maudongo, unga unga na michoro ya wanja usoni mpaka wanatia kichefu chefu. Unamwangalia mtu usoni na mikononi hamna...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
"Kila Aguswaye na Penzi Huwa Mshairi" - Plato, . . My dearest Evelyn Salt , . . . I LOVE YOU! . I love you like the last meat in the pot, Yaani ninakupenda kuliko mchaga na noti. . . I love you...
16 Reactions
210 Replies
12K Views
Leo ndo weekend inaanza na kama kawaida viwanja kwa jiji letu la dar ni vingi ila kuna kile uwezi kutamani kuacha kwenda na hela yako unayotumia eneo hilo unaona kabisa haijapotea....naomba...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu, mama mwenye nyumba ananisumbua anataka nimgegede, ameniambia nisipomgegeda atanipandishia kodi. Ushauri wenu unahitajika, nimgegede au niache? Baadhi ya marafiki zangu wamenishauri...
2 Reactions
66 Replies
7K Views
Wazazi 1. Baba. Maandiko Matakatifu yanampa mume na baba jukumu la kuwa kiongozi na kuhani wa familia. (Kol.3:18-21; 1Pet.3:1-8). Anakuwa mfano wa Kristo, kichwa cha Kanisa. “Kwa maana mume ni...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Namjua baba yangu,ila kutokana sababu ambazo siwezi kuzisema hapa baba yangu akaachana na mama na akanikana mimi milele. Tangu hapo nikaacha kutumia majina ya baba nikawa natumia majina ya mjomba...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Habari wana jamvi! Nije kwenye mada husika.Mwanaume ana mke halali wa ndoa, ana kimada kakipangia chumba,ana mchepuko wa kudumu,ana girlfriend lakini bado anazidi kutogoza na kuwatamani wanawake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom