Mchepuko wa Baba Ukikupenda Unafanyaje?

Mchepuko wa Baba Ukikupenda Unafanyaje?

Akili Pesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
617
Reaction score
854
Wadau nina taarifa za mshkaj mmoja hv mtaani anapiga mchepuko wa baba yake mzazi na inavyosemekana Baba yake amegundua kwhyo anafikiria namna ta kumustopisha kijana.
Je wewe unaweza kupiga mzgo wa mchepuko wa baba(kwa mtoto wa kiume) na mchepuko wa mama(kwa mtoto was kike).

Karb sana.
 
Inategemeana na nani kamwingilia mwingine kwenye mpango husika. Lakini mtoto anapaswa kumuachia mkubwa wake.
Wadau nina taarifa za mshkaj mmoja hv mtaani anapiga mchepuko wa baba yake mzazi na inavyosemekana Baba yake amegundua kwhyo anafikiria namna ta kumustopisha kijana.
Je wewe unaweza kupiga mzgo wa mchepuko wa baba(kwa mtoto wa kiume) na mchepuko wa mama(kwa mtoto was kike).

Karb sana.
 
Wadau nina taarifa za mshkaj mmoja hv mtaani anapiga mchepuko wa baba yake mzazi na inavyosemekana Baba yake amegundua kwhyo anafikiria namna ta kumustopisha kijana.
Je wewe unaweza kupiga mzgo wa mchepuko wa baba(kwa mtoto wa kiume) na mchepuko wa mama(kwa mtoto was kike).

Karb sana.
Mambo mengine ni kujicontrol tu.
 
Unajimilikisha tu then unamwacha babba yako apambane na hali yake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
unachora mstari km 100000 asikusogeleeeee.....
 
Back
Top Bottom