Wadada mnakwama wapi? Ndani ya siku 2 tu unageuka omba omba

Wadada mnakwama wapi? Ndani ya siku 2 tu unageuka omba omba

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,711
Reaction score
8,765
Hivi nyie wadada mnahisi wanaume tuna hela muda wote kama machine za ATM?

Demu unakutana nae unamtongoza anakubali

Hujawahi mgegeda,hujawahi mpiga hata kiss ndani ya siku 2 tangu akukubalie anaanza kuwa omba omba yani demu sijakutia wala kukufanya chochote unafikiri nitakua na mzuka wa kukuhonga?

Wadada mnaendekeza sana njaa ukipata bwana tulia sie wanaume tunajua majukumu yetu kwenu sio kuforce force upewe hela

Hela mnazitaka ila kutoa uchi mnakua wagumu wagumu na masharti kibao kama mganga wa kienyeji
 
wanaume wote tukiwa na mawazo kama yako bc hatutopata wanawake mana wanawake wote wapo hivyo.
 
Wanawake wengi wanakuwa na shida nyingi, unapomtongoza anafanya kukushushia tu ili yapungue apumzike.

Kuna mengine ukiyachunguza unakuta anachokueleza ni ukweli kabisa.

Hivyo ni kuangalia yale unayoyaweza umsaidie wakati huo unaangalia mbinu ya kumnasa pia ili usijutie kutoa pesa kwake bila kupeana utamu wa MJEGEJANO.
 
Fact.. Mimi hela yangu kutoka umefanya juhudi San'a
tapatalk_1535649651911.jpeg
 
haya malalamiko yamezidi sasa,,tuuueeeniiii tujue moja😎😎
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom