Good Mood
Member
- Sep 12, 2018
- 58
- 118
Kuanzia tarehe 1 mwez wa sita Tanzania itaacha rasmi matumizi ya mifuko isiyooza(mifuko ya plastic) ili kulinda mazingira. Napata ukakasi kidogo vp kuhusu condom zitaendelea kuwepo au nazo zitatafutiwa alternative(mbadala) ili kuweza kuondoa matumizi ya plastic
Kwa wale wafugaji wa kuku hapa nahisi watanielewa kuhusu athari za rasta kwa mifugo hiyo kwa sababu ni moja wapo wa bidhaa izo na pia hukata mifugo hiyo miguu na pia haiozi hata ikae mda mrefu vp nayo pia itakatazwa?