Kuachwa ni Gundu au Nyota??

Kuachwa ni Gundu au Nyota??

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,511
Habar zenu wana jf hasa wadau wa hili jukwaa pendwa.
Kuna mada hapo juu naomba tuidiscuss vizuri. Kuna watu wanapitia magumu sana hasa kwenye suala la mapenzi/mahusiano.Unakuta mtu toka aanze mahusiano hajawai kuwa happy kila siku kulia kuachwa, unakuta na ni kweli ana true love lakin anaachwa solemba hiyo trend inaendea hvo hvo kwa kila anaekutana nae inauma sana.

Swali langu ni kwamba hivi hii inakua ni nyota ya mtu?? Au anakuwa na gundu tu, manake mtu kama hyu sion sababu ya yeye kuoa/olewa coz yeye ni mtu wa kuachwa tu. Wadau mnasemaje about this??
 
Sio gundu wala sio nyota

Hata ikitokea mtu akawa anaachwa mara nyingi sio gundu...ni suala la muda tu atapata anayemfaa

Sema kuachwa inauma aseee
 
Ukiachwa shukuru endelea mbele usipambane kurudisha hata kama alikukosea au ulimkosea, SONGA MBELE, hakuna GUNDU
NYOTA? absolute not!!
 
Sio gundu wala sio nyota

Hata ikitokea mtu akawa anaachwa mara nyingi sio gundu...ni suala la muda tu atapata anayemfaa

Sema kuachwa inauma aseee
Umemaliza kila kitu. Gundu na nyota ni imani tu ambazo watu wamejijegea. Hivi vitu vinahitaji muda
 
Muda mkuu na maombi ya imani husika yanahusu hapo
 
Usiombe kuachwa mi naona kuwa hyo sio ridhiki yako
 
Sio gundu inabidi ujitambue wewe unahadhi gani ukishajitambua uwezi kwenda kupalamia v8 Wakat wewe ni ist
 
Kuacha na kuachwa katika mahusianoni ni kawaida,ni sawa na kuchoka kula maharage kila siku
 
Kuna Dada amewahi kutolewa mahari mara 3 na mambo hayajatokea..Sijui ndo gundu
 
Back
Top Bottom