THAN0S
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 739
- 697
Hello wanaJF, baada ya pitapita zangu hapa JF nimeona kuna ukingano wa mawazo, baadhi ya WANAWAKE wanaona ni sawa kwao kuolewa na WANAUME wenye uwezo mkubwa wa kifedha au waliotoka kwenye familia yenye uwezo mkubwa wa kifedha japo wao ni wa hali ya kawaida na hii hata kama hawana mapenzi nao ili tu kujijengea financial future/economic stability bora mbeleni.(sioni shida hapa, personally)
Ila likija suala la MWANAUME kutaka kuoa MWANAMKE mwenye fedha au aliye toka familia yenye uwezo inachukuliwa kama udhaifu flani (both wanaume na wanawake wanaponda sana hili) Je ni Kwanini inakuwa hivi???
Kwa mfano mi ni Kijana mwenye umri kati ya 24- 29, nileyetoka familia ya uwezo wa kati, nimesoma shule nzuri toka nursery paka secondary, na pia nimehitimu stashahada nchini Kenya. Nimeajiriwa na naendesha small scale business sihitaji kulelewa au sina dhiki yakivilee ila siamini katika ndoa kwajili ya mapenzi(nimeona walioana kwa mapenzi nakusalitiana na mengine mengi yanayotokea ktka mapenzi)
Mi na amini kama nitakuja kuoa, nioe strategically kwa mwanamke aliyetoka kwenye familia yenye uwezo wa juu zaidi au mwenye kipato kikubwa, hii itanisaidia kwenye hustle zangu/connections(the rich interact with the rich) na kunipa push pia Nita secure a better financial ground kwa watoto wajao.
Hata koo za zamani(especially Europe medieval era) marriage ilikuwa more financial strategic na sio about love, hata baadhi ya makabila ya ki Asia wanaozeshana kwa strategy.
French philosopher Montesquieu wrote that any man who was actually in love with his wife was probably too dull to be loved by another woman..
KWAHIYO KUNA UBAYA GANI KUWA NA MAWAZO KAMA HAYA KWA KIJANA KAMA MIMI?