Je ulishawai kumfumania mpenzi wako?

Je ulishawai kumfumania mpenzi wako?

Benevento

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
4,982
Reaction score
29,537
Wana MMU kwa yule ambaye alishawai mfumania mke au dem wake wakigegedana au wakiwa katika poz za mahaba ulijisikiaje??

Maana leo nimeona txt tu tumbo limetetemeka sijui itakuaje nimfuma anagong’wa
 
Ukimfumania hawezi kua mpenzi wako tena. 'Maoni yangu binafsi'
 
Nadhani wangu bado hajazaliwa!
 
Wana MMU kwa yule ambaye alishawai mfumania mke au dem wake wakigegedana au wakiwa katika poz za mahaba ulijisikiaje??

Maana leo nimeona txt tu tumbu limetetemeka sijui itakuaje nimfuma anagong’wa
Kama huyo
tapatalk_1558636505474.jpeg
 
tuanzie kwako kwanza, we unadhani atajisikiaje huyo mtu
 
Shida ya kumiliki demu mmoja, pambana wafike sita ukimfuma mmoja watano wako safe.
 
Sijawahi
Hata nikiwahi sitaonesha kujali mbele yake...nitaenda kuumia mbele ya safari
 
Sijawahi ila huku nakoelekea nimeshaona dalili ya kufumania mtu
 
Kwanza lazima tujue ukimfumania kwenye situation gani
 
Umfumanie Na uendelee kuwa nae huo n uchiz
 
Utapata presha alafu unazimia eti kisa utamu unaopata na mwenzio anapata alafu ulitaka uwe wa peke yako tu.Mambo mengine bana ujinga ujinga tu
 
Wana MMU kwa yule ambaye alishawai mfumania mke au dem wake wakigegedana au wakiwa katika poz za mahaba ulijisikiaje??

Maana leo nimeona txt tu tumbu limetetemeka sijui itakuaje nimfuma anagong’wa
Tumbu nini!
 
Back
Top Bottom