Nimeonja pendo lako

Nimeonja pendo lako

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,038
Reaction score
13,467
Nimeonja pendo lako nikajua u mwemaaa,nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe!

Na upole wako Bwana,na huruma yako wewe,umenitendea wema usiopimika,Nitakushukuru na kukutukuza wewe.

Kina baba simameni ukapige makofi*2
rudia kiitikio.
Tumsifu GOD
 
Ngoja nipite zangu kuelekea chumbani kulala........

w'end mbovu kabisa hii..........
 
hivi hiyo nyimbo waliimba akina nani vile? Msondo au Sikinde?
 
si nimeingia kwa mbwembwe nikajua nini tena alichoonja huyu mpaka akasema haya
kumbe ni lisongi ili songi zuri sana hasa kwa nyakati hizi

Nimeonja pendo lako nikajua u mwemaaa,nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe!

Na upole wako Bwana,na huruma yako wewe,umenitendea wema usiopimika,Nitakushukuru na kukutukuza wewe.

Kina baba simameni ukapige makofi*2
rudia kiitikio.
Tumsifu GOD
 
hivi hiyo nyimbo waliimba akina nani vile? Msondo au Sikinde?

Japo umeuliza kibaa baa nakujibu tuu... mtunzi ni Bernad Mukasa, mtunzi mahiri wa enzi hizo...lakini hazikumtoa sana kwani enzi hizo muziki wa injili ulikuwa haulipi kidunia dunia kama sasa, ila ukweli nyimbo zake ni tamu mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom