FUNGUKA TOA YA MOYONI..

FUNGUKA TOA YA MOYONI..

CHIBA One

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2018
Posts
558
Reaction score
2,103
kila siku binadamu tunaishi kwa mipango, malengo na matamanio, shauku na Maono juu ya maisha yetu..

Hebu leo toa ya moyoni

Kwa kuanza na maneno haya "Ee Mungu......

Laiti ninge.......
Daaah.......
Mimi ni.........
Na maneno mengine utakayopenda kutumia

Dada/kaka ukiona jambo zuri lililokuvutia kutoka kwa jinsia nyingine Mwambie " Wooow"[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ee Mungu laiti ningejua aliwahi kuoa na akatalikiana na mke wake walahi nisingeolewa nae ,kwakuwa alinificha akaniambia baada ya uhusiano wetu kukomaa na nikiwa na mimba ,nilimsamehe sasa tuna miaka kumi ya ndoa yetu ya Bomani na nina furaha.
 
laiti ningejua nisingeuangalia uzi huu umemaliza kabando kangu tuu
 
kila siku binadamu tunaishi kwa mipango, malengo na matamanio, shauku na Maono juu ya maisha yetu..

Hebu leo toa ya moyoni

Kwa kuanza na maneno haya "Ee Mungu......

Laiti ninge.......
Daaah.......
Mimi ni.........
Na maneno mengine utakayopenda kutumia

Dada/kaka ukiona jambo zuri lililokuvutia kutoka kwa jinsia nyingine Mwambie " Wooow"[emoji16][emoji16][emoji16]
Daaah kumbe uzi wenyewe ndio huu, laiti ningejua nisinge tupia ata komenti

But kwa hasira na komenti(in chidi benz voice)
 
Back
Top Bottom