Mapenzi hauna lakini una wivu wa kuua mtu

Mapenzi hauna lakini una wivu wa kuua mtu

Jembemtaji

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
1,192
Reaction score
929
Hapa ni kwa jinsia zote. Unakuta uko na mpenzi, mke au mume hakujali sana wala hakuonyeshi mapenzi yoyote ya maana lakini akisikia unanyemelea mtu au unanyemelewa na mtu anakua mkali zaidi ya wale wenye mapenzi ya kweli.

Hivi unakuwaje na wivu na mtu ambaye haumjali?
 
Ah basi tu binadamu
Hapa ni kwa jinsia zote ,unakuta uko na mpenzi ,mke au mume hakujali sana wala hakuonyeshi mapenzi yoyote ya maana. Lakini akisikia unanyemelea mtu au unanyemelewa na mtu anakua mkali zaidi ya Wale wenye mapenzi ya kweli. Ivi unakuaje na wivu na mtu ambaye haujali.
 
Back
Top Bottom