Nilienda kumtembelea mama mchungaji wetu maana mchungaji hayupo yuko kwenye mkutano mkoa mwingine huko, ile nafika tu nae ndo anatoka.... namuuliza mama wapi tena nimekuja kukusalimu wewe...
Habari za mida bandungu?
Kumeibuka tabia ya wanaume kutuchambua kama karanga (sisi wanawake) unasikia kabisa jamaa linasema "yaani nioe mwanamke anafanya kazi bar" sasa unadhani kuna tofauti ya...
Wana mmu nimpende nani humu???
Mzigua90 maa mwenye ma iq yake makubwa
Shunie mrembo mwenye mbwembwe zake
Sakayo mwenye maringo yake
joanah mwenye majibu yake
cute b mwenye misemo yake
ledada...
Wasalaam, wakuu bila shaka mko poa j5 hii, moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu.
Jana nimepata simu mpya kupokea sauti ya KE akajitambulisha, ilinichukua sekunde kadhaa kumkumbuka
Oooh...
Yaani Mimi nikiwa na Msichana kwenye mahusiano, inapofikia kwenye suala la mawasiliano let's say kuchat huwaga Ni mzito Sana yaani hadi manzi aanze kunitafuta mwenyewe na mimi ndiyo na respond...
Jana nilikuwa na mihadi na mpenzi wangu, mama aliyenizalia mtoto wangu, nilikuwa nimemmisi kiukweli na hii ni baada ya kutokukutana nae almost miezi 3,
Alikuja Asubuhi sana baada ya chai ile...
Wewe kama mwanamme ungependa kuwa na ndoa kama ya baba yako?
Na wewe kama mwanamke ungependelea kuwa na ndoa kama ya mama yako karne hii?
Why / why not ?
Wadau wazima,
Kwa wadada unaweza kumkataa mwanaume kisa hana hela au ana hela ila roho haijaridhia basi unajiachia kwa vibwana ambavyo vinakuchezea tu mwishowe unatoa mimba unaachwa unasalitia...
Ndoa nikitu sijaelewa kama ni serious hivi ila kwa jamani sioni kama nyie mlioko kwenye ndoa mnaona.
1.haya maneno mwaliona simple napia kwa walio kwenye ndoa .
A. Kwa shida na raha .(kwa hiyo...
Mwaka 2017 ndio unaishia, inshallaaah
Hii ni thread special ya kuweka nyimbo nzuri za maharusi kuingilia ukumbini, wale wa masihara ambao mtasema wimbo wa "CCM mbele kwa mbele" "nakupenda tu by...
Jamani wanaume serious wamo humu jukwaani. Wengi wao huwa hawachangii sana nyuzi. Huwa ni wasoma comments.
Akivutiwa na uandishi wa mdada anatafuta njia ya mawasiwaliano ya ziada. Mengi huwa...
Unapomsaidia mwanamke kwa kumshomesha, kumtibu au kumtafutia kazi kwa lengo LA kuja kumuoa au kuingia naye kwenye mahusiano huko ni kubet inabid ukubaliane na lolote lile
Ushauri usipende sana...
Wakuu habari za muda huu, kuna thread moja niliwahi post kwenye love connect nikitafuta wangu wa moyo.
Bahati nzuri kati ya wakiokuja nilikongwa nyoyo na binti mmoja (30yrs) safii alinipendeza...
Full kubembelezana kama njiwa.Sitaki nataka nyingi kushinda maelezo.Lazima uhakikishe una taulo zito kwa ajili ya kufuta machozi.Jiandae pia kuoga damu kunako Mheshimiwa.
Tendo huishia hapo hapo...
Wakuu habari zenu, poleni na majukumu ya hapa na pale,
Naenda kwenye maada, iko hivi kama maada inavyo jieleza hapo, yaani mwanamke kukaa mapaja waziwazi pale wanapokua wawili na mmewake, iwapo...
Habari ya usiku wakuu,
Kila mwanaume huwa anapatwa hisia za kimapenzi kwa mwanamke kwa namna tofauti.
Ngoja niwarudishe miaka ya nyuma kidogo 90's na mwanzoni mwa 200's ambapo wanawake walikuwa...
Kuna wana JF bwana kwa kupanua! Yani wakiweka mada zao hapa au wakichangia thread, either unatamani ungekuwa wao, au unatamani ungekuwa nao... Mimi hawa hapa huwa wakipanua natamani kweli!
Money...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.