Naomba nije kwako kuna kitu unishauri

Hendisamu

JF-Expert Member
May 9, 2019
319
500
Wasalaam, wakuu bila shaka mko poa j5 hii, moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu.

Jana nimepata simu mpya kupokea sauti ya KE akajitambulisha, ilinichukua sekunde kadhaa kumkumbuka

Oooh, nambie, akasema ana shida, nikamuuliza shida gani? Akasema kuhusu jamaa (mpenzi) wake, yaani anadai jamaa hatoi support kama matumizi n.k. huyu dada kapanga lakini hana kazi ya uhakika alikuwa anajihusisha na mgahawa ila siku hizi kakaa tu.

Basi akasema sihitaji tuongee kwa simu naomba nije kwako, mm kusikia hivo moyo paap !!! Huyu ujasiri kautoa wapi licha ya kuwahi kufika kwangu siku moja akiwa na MDOGO wake,alikuja kuniomba nimkopeshe pesa amsaidie mdogo wake alikuwa na shida.

Sema kweli nilimuelewa mdogo mtu kutupia mistari akanambia ana mtu wake na nikamwelewa nikaona isiwe tabu maana mpenzi wake nilikuja kumfahamu.

Sasa jana hiyo jioni kaja home kwangu hajanipigia simu kunitaarifu kagonga mlango holaaaa! Mwenye nyumba katoka akamwmbia nimetoka.

Baadae nilivo rudi nikaambiwa na mzee nikampandia hewani akasema atanipigia simu leo!

Kiukweli ananiingiza majaribuni maana ni siku nyingi namuona pigo zake za kunitega ukizingatia mimi sijaoa na getto kwangu anapaelewa.

Huwa ananimwagia sifa kama zote, eti wakuu nikwepeje hii mikato?
 
FK21

JF-Expert Member
May 27, 2019
1,724
2,000

TOM.BA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom