Wanaume serious wako JF wengi huwa ni wasoma comments tu

Daisy Llilies

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
1,017
2,154
Jamani wanaume serious wamo humu jukwaani. Wengi wao huwa hawachangii sana nyuzi. Huwa ni wasoma comments.

Akivutiwa na uandishi wa mdada anatafuta njia ya mawasiwaliano ya ziada. Mengi huwa yanaanzia PM. Maongezi anaweza kuhamia WhatsApp na mialiko mengine.

Uandishi wenu ni muhimu, watu wanawasoms character kutokana na mpangilio wa maneno yenu.
 
Hawajui mambo mengi ndio mana huwa hawacomment na wanachojua ni kutongoza tu ndio mana wanakuja pm...

Mwanaume serious yupo busy kufanya
utafiti,
kugundua mambo mbalimbali yenye tija kwa jamii

We andika unachojiskia labda kama upo jf kutafuta wanaume
 
Jamani wanaume serious wamo humu jukwaani. Wengi wao huwa hawachangii sana nyuzi. Huwa ni wasoma comments.

Akivutiwa na uandishi wa mdada anatafuta njia ya mawasiwaliano ya ziada. Mengi huwa yanaanzia PM. Maongezi anaweza kuhamia WhatsApp na mialiko mengine.

Uandishi wenu ni muhimu, watu wanawasoms character kutokana na mpangilio wa maneno yenu.
punguza kujiuza wengine sisi humu nisehemu yakutolea stress baada ya msoto mnene wakuzisaka ajira
hata Nyete hana mafili fili kichwani kama yako
 
Humu wengi wanajifunza au kufanikiwa kupitia mawazo ya watu bureee bila kuchangia chochote;na wengi wanapenda bure;ndio maana kwenye maandiko ni vizuri mtu kumpatia 'credit' katika 'citation'
 
Back
Top Bottom