Ku-bet kwenye mahusiano

Ku-bet kwenye mahusiano

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,622
Reaction score
10,262
Unapomsaidia mwanamke kwa kumshomesha, kumtibu au kumtafutia kazi kwa lengo LA kuja kumuoa au kuingia naye kwenye mahusiano huko ni kubet inabid ukubaliane na lolote lile

Ushauri usipende sana kumsaidia mwanamke unayempenda sana hasa kabla ujamuoa, ku-bet Kwa staili hii ni kubaya na kutakuumiza sana
 
Ngoja waje Kwanzaa aiseee....

Kweli hiyo big betting
 
Back
Top Bottom