katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Ndoa nikitu sijaelewa kama ni serious hivi ila kwa jamani sioni kama nyie mlioko kwenye ndoa mnaona.
1.haya maneno mwaliona simple napia kwa walio kwenye ndoa .
A. Kwa shida na raha .(kwa hiyo lolote baya sio unakimbia mnalitatua.
Furaha lazima mtashea .
B.Utajiri na umaskini ila (kuna watu wenzao wakifulia wanawaacha .
C.Uzima na ugonjwa (ugonjwa unaweza kumtenga mtu akiwa mgonjwa na kutomhudumia hapa wanaume wanahusika .
HILI NENO NA MUNGU anisaidie kweli jamani hili neno nikazi kama unaoa unacheet au una mabwana unaweza kula chakula unameza lakini umetokwa kwa wanaume au wanawake hii nikazi sana jamani.
Kweli mko juu .
Hamtunzi familia haipendi mnaipiga umeoa unakuja usiku wa manane mmelewa mnapigania mali ili upande wapili ule .
Maisha gani haya ulipomwoa ulidhani kuwa niwakumtumia tu apate mali uanze kumsumbua akili.
Mnapigana kisa malaya mnachukiana kisa mali mnasemana yaani visa ugomvi kila saa kwanini mmeoana au umeoa au umeolewa kama ulikiwa na demu /mwanaume wa zamani jamani kwani ulioa au kuoelewa ungekaa mwenyewe na yeye mnatesana kabisa .
Basi ungekuwa bachelor sio unatesa familia kwa michepuko .
Unakimbiza hadi mke wako kisa michepuko au mme wako kisa michepuko kuoa au kuolewa nikukibali kuwa na mtu ulimchagua kama hujamchagua usimwoe kuoa si kitu ya mchezo unaingia ingia tu kama hujiamini basi.
Usioe mpaka ukiamini.