Nyimbo kali za kuingilia ukumbuni kwa maharusi

Nyimbo kali za kuingilia ukumbuni kwa maharusi

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,840
Mwaka 2017 ndio unaishia, inshallaaah

Hii ni thread special ya kuweka nyimbo nzuri za maharusi kuingilia ukumbini, wale wa masihara ambao mtasema wimbo wa "CCM mbele kwa mbele" "nakupenda tu by Dudubaya" nk kausheni.

Wajuzi wa nyimbo mwageni hapa, God win naona umeshapitwa na wakati.
 
Mwaka 2017 ndio unaishia, inshallaaah

Hii ni thread special ya kuweka nyimbo nzuri za maharusi kuingilia ukumbini, wale wa masihala ambao mtasema wimbo wa "ccm mbele kwa mbele" "nakupenda tu by Dudubaya" nk kausheni

Wajuzi wa nyimbo mwageni hapa, God win naona umeshapitwa na wakati
Unataka kuvuta jiko nini
 
Ngoma kiboko ni UMBO LANGU DAWA
Ukiingia nayo hio michepuko wako wakizamani watatamani wajinyee[emoji3][emoji3]
 
Hawajui sijui ndivyo Nina lake kila muimbaji ni BAhati bukuku nafikir inafaa pia
 
"Mi nataka kuwa na weee, kuwa na wee tuu.

Mi nataka kuwa nawee, kuwa na wee tu."

Huu wimbo unaitwaje na ni wa msanii gani?
 
Back
Top Bottom