Hii imekaeje kwa mke kukaa mapaja wazi mbele ya mme wake?

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,190
3,685
Wakuu habari zenu, poleni na majukumu ya hapa na pale,

Naenda kwenye maada, iko hivi kama maada inavyo jieleza hapo, yaani mwanamke kukaa mapaja waziwazi pale wanapokua wawili na mmewake, iwapo akitokea jirani au mtu tofauti ndio utaona mwanamke anajifunikafunika kanga vizuri,nilimkuta ndugu mmoja wakipiga stori na mke wake, yule shemeji yangu alikua amejisahau amejiachia nilivotokea ndivo akaanza kujifunika funika mapaja, hii imenitokea mara kazaa kwa marafiki zangu na hata kwingine

Sasa swali langu hua najiuliza kwanini iwe hivyo au kwasababu mwanamke anaona kua mmewake anamjua kilakitu ndio maana wakiwa wawili anajiachia tu.?

Imeandikwa na
Exalioth: natumia Jamiiforum
 
Mwanaume au mwanamke hana cha kuficha mbele ya mwenza wake maana wote wanajuana A-Z.
Ila mwanamke kujiweza wazi muda mwingi humfanya mumewe kuizoea ile hali na kukosa hisia (msisimuko) mara aonapo.

Ni vyema kukaa kimitego kwa wakati maalum na lengo mahususi ili jambo hilo liwe na athari kwa hisia za mwenza wake.
 
haina shida hiyo kwani huyo ni mwenza wake hakuna asichojua kwenye mwili wa mkewe au mumewe. ila ni vibaya kufanya hivyo kwa mtu asiye mwenza wako!
 
Umenena
Mwanaume au mwanamke hana cha kuficha mbele ya mwenza wake maana wote wanajuana A-Z.
Ila mwanamke kujiweza wazi muda mwingi humfanya mumewe kuizoea ile hali na kukosa hisia (msisimuko) mara aonapo.

Ni vyema kukaa kimitego kwa wakati maalum na lengo mahususi ili jambo hilo liwe na athari kwa hisia za mwenza wake.
 
Sasa mke asipokaa mapaja wazi kwa mumewe akae kwa nani? Acha tabia yako ya kuzuka kwa watu kila mara tena bila taarifa.

Wakuu habari zenu, poleni na majukumu ya hapa na pale,

Naenda kwenye maada, iko hivi kama maada inavyo jieleza hapo, yaani mwanamke kukaa mapaja waziwazi pale wanapokua wawili na mmewake, iwapo akitokea jirani au mtu tofauti ndio utaona mwanamke anajifunikafunika kanga vizuri,nilimkuta ndugu mmoja wakipiga stori na mke wake, yule shemeji yangu alikua amejisahau amejiachia nilivotokea ndivo akaanza kujifunika funika mapaja, hii imenitokea mara kazaa kwa marafiki zangu na hata kwingine

Sasa swali langu hua najiuliza kwanini iwe hivyo au kwasababu mwanamke anaona kua mmewake anamjua kilakitu ndio maana wakiwa wawili anajiachia tu.?

Imeandikwa na
Exalioth: natumia Jamiiforum
 
Kosa ni kuacha mlango wazi wakiwa faragha au labda kukuruhusu kuingia kabla ya kujistiri. Ila mkuu huwa unaenda kuwatembelea muda gani na je, huwa unatoa taarifa kabla ya kwenda ??..
Isije kuwa unayetengeneza mazingira mwenyewe mkuu
 
Back
Top Bottom