Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,762
Wadau wazima,

Kwa wadada unaweza kumkataa mwanaume kisa hana hela au ana hela ila roho haijaridhia basi unajiachia kwa vibwana ambavyo vinakuchezea tu mwishowe unatoa mimba unaachwa unasalitia mpaka unazeeka.

Tokea wimbo wa Vaileti mpaka Tetema hujaolewa hujui kwanini kwa maana yule unayemkata ndio kaja kwa wema ila wale unaowapapatikia ndio utaishilia ukitoa macho kama mjusi aliyabanwa na mlango.

Oh mara unasema huyu namchuna mpaka nini .
Mara nina wangu tuna miadi naye ya mbele we have future together mwenyewe hata home hajawahi kuja.

Anawatifuatifua marafiki zako kama nini halafu kutwa masaa ishirini nanne unakuwa unamsema unamuwaza unakuwa unamuota na unajiona kumbe ni mpita njia kazi yake ni kula na kusepa.

Sasa huyo uliyemkataa ataoa utabaki umekomaa hadi ukigongwa na pikipiki sio wewe unajeuriwa na pikipiki umeijeruhi.

Acha kuchagua utajikuta wewe ndio kila mtu anapita akichoka nyumbani kwake. Anajua unachopenda chakula vinywaji na pesa anakuja anakupa anaenda ila hata siku moja hutasikia ndoa.

Utavaa nguo zakila neno hadi ubadili uanze kuvaa vitengee. Utabakia ukiitwa majina kisa ni wewe ulitaka.

Kaa naanaye kupenda tatizo ni hili kumpenda asiyekupenda. Aliyekupenda tulia naye hata hela mkikaa pamoja mkawa serious mtazipata tu.

Au kama anazo basi jaribu kumuweka unavyotaka wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa mmoja last year katikati kwenye mishe tumekutana hukoo.....Basi jamaa full kuzimika na mimi, aaahg! Nikamuona tapeli tu....kumbe ni ananipenda kweli asee, ...tatizo moyo wangu haumkubali kabisa, staff mwenzangu ananiambia iko siku utaukumbuka huu upendo, halafu mkaka mzuri tu, na anafocus na life but duuh moyo bana unagoma/ukagoma mazima![emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa mmoja last year katikati kwenye mishe tumekutana hukoo.....Basi jamaa full kuzimika na mimi, aaahg! Nikamuona tapeli tu....kumbe ni ananipenda kweli asee, ...tatizo moyo wangu haumkubali kabisa, staff mwenzangu co worker ananiambia iko siku utaukumbuka huu upendo[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndivyo inakuwaga lakini mimi nashauri wadada mtizame mioyo yenu iko wapi ikiwezekana olewa na unaempenda

Kuishi na mtu kisa tu ye anakupenda sana lkn wewe humpendi kivile ni mtihani mzito sana kuzidi matusi ya humu kwa masingle mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa mmoja last year katikati kwenye mishe tumekutana hukoo.....Basi jamaa full kuzimika na mimi, aaahg! Nikamuona tapeli tu....kumbe ni ananipenda kweli asee, ...tatizo moyo wangu haumkubali kabisa, staff mwenzangu ananiambia iko siku utaukumbuka huu upendo, halafu mkaka mzuri tu, na anafocus na life but duuh moyo bana ukagoma![emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
True

Sent using my Nokia Torch
 
Na ndivyo inakuwaga lakini mimi nashauri wadada mtizame mioyo yenu iko wapi ikiwezekana olewa na unaempenda

Kuishi na mtu kisa tu ye anakupenda sana lkn wewe humpendi kivile ni mtihani mzito sana kuzidi matusi ya humu kwa masingle mama

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue kapeace ishu iko hivi...we unayempenda yy hakupendi na anayekupenda kwa dhati we humpendi.....sijui why hii ishu asee[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fuata moyo wako mama kuna yule unampenda nae walau anarespond huyo ndo wa kumshikilia

Tatizo wadada mko desperate sana na kuolewa...kuliko kuolewa na mtu usie na mapenzi nae bora kuitwa msimbe nk....

Ni mtazamo wangu tu ambao unapishana na katoto kazuri kiaina

Kila mtu anamaoni yake ila ushauro wangu ndio huo tu nimeona nishee nawewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mdada kaniambia maneno ya kama huu uzi jana tu,muda ukishaenda hawa wenzetu ndio uwa wanajuta na kukumbuka yaliyopita lkn inakua too late!
 
Kila mtu anamaoni yake ila ushauro wangu ndio huo tu nimeona nishee nawewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Fuata moyo wako mama kuna yule unampenda nae walau anarespond huyo ndo wa kumshikilia

Tatizo wadada mko desperate sana na kuolewa...kuliko kuolewa na mtu usie na mapenzi nae bora kuitwa msimbe nk....

Ni mtazamo wangu tu ambao unapishana na katoto kazuri kiaina

Sent using Jamii Forums mobile app
Moyo bila ubongo ni mzigo

Ukiamua kuufunfisha moyo kwa kutumia ubongo kuthamini upendo wa anayekujali utaona matokeo mazuri
 
Aliyekupenda tulia naye hata hela mkikaa pamoja mkawa serious mtazipata tu.
Katika yote uliyoyasema, wakumbuke hili hata kama watasahau hayo yote. Classmate wangu waliokuwa wanachagua bado wako single ama ni ma-single mother in their 40s. Walioamua kuwa na sisi, ndio wana familia zao. Siyo matajiri lakini wanakula, wanavaa, wana usafiri, sehemu ya kulala na watoto hawaendi IST lakini wanakwenda shule nzuri. Sasa hivi hao wenzetu waliokuwa wanatafuta wapenzi kutoka familia tajiri wakiolewa nadhani itakuwa na wanaume wagane.
 
Back
Top Bottom