Wewe unayeoa kwa kuangalia kazi, tabia na dini unadhani kuna tofauti?

Miss_Irene

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
320
455
Habari za mida bandungu?
Kumeibuka tabia ya wanaume kutuchambua kama karanga (sisi wanawake) unasikia kabisa jamaa linasema "yaani nioe mwanamke anafanya kazi bar" sasa unadhani kuna tofauti ya papuchi ya mwanamke aliyeko bar na hawa wadogo zetu, dada zetu na wengine walioko makwao, shule na vyuoni?

Unaweza kushangaa idadi ya wanaume waliomkula bar maid inazidi kidogo tu kwa hawa mnaowaita wametulia au hata wanalingana tu!

Jamani wanaume mjaribu kufanya tafiti kidogo hawa wa nyumbani ndo wabaya sana siku hizi, unakuta ka-dada kako form two tu, ila kana mabwana wanne, mbaya zaidi wanaume nao wanaviamini hivi visichana vidogo hawatumii hata kinga

Sasa kasheshe linakuja pale hao wanaume wanne wanaokakula haka kabinti nao wana wanawake kama sita sita tena pembeni yaani ni bonge moja la mtandao hapo ila unakuta mtu anajiaminisha kabisa

Hebu fikiria binti wa form one one nae siku hizi ana mabwana,, sasa piga hesabu ya kawaida tu yaani kambinti kamalize form one kakiwa kameliwa na mabwana wanne, form two napo kaliwe na wanne tena hivyo hivyo form three na form four maana yake kanamaliza O'level kameliwa na mabwana kumi na sita Advance je? na chuo vipi??

Hapo unakuja kuoa mwanamke kamaliza chuo ana fanya kazi ofisi fulani ambayo alipata kazi kwa kugawa uloda kwa boss wake, sijipigii debe kwamba niolewe me bado mdogo

Ila wanaume muamini hakuna tofauti kama unaoa oa tu, kuna huyu wakuchuja alidai mchumba wake kamkuta bar so anataka kuvunja uchumba

Narudia tena hakuna tofauti kati yetu,, kama unabisha nenda kaoe sehemu na wewe uishi hapo hapo na mkeo uone vile wale waliokuwa wanamkula mkeo kabla hujamjua wanavyoendelea kukupigia

Ila ukipata mwanamke ambaye amejichokea na maisha ukamtunza vizuri na bahati nzuri awe na hakili ya kujichunga mwenyewe utapenda,, haya basi walionielewa nendeni mkaoe popote oa tu!
 
Hakuna Mtu ambaye hana makando kando
Ila katika maisha watu wa nacho kizingatia --Ni kuwa na mtu ambaye anaweza kuyadhibiti mambo yake ya siwezi kufika kwenye macho na masikio ya Jamii inayo mzunguka '......

Kuna msemo usemao hivi ----- kama limefanyika kisha halija julikana -Basi halipo. ..

BTW ---naona jinsi unavyopaza shingo kuitetea kazi yako ya u-bar maid. .kwani Kuna mtu kakueleza kuwa hafai '?
 
Nani bar maid mkuu,, me nawafunda tu kaka zangu ungejua nina maisha gani, nafanya kazi gani na nina muonekano gani hata huwezi jaribu kunisemesha tukikutana
 
Kupanga ni kuchagua mama.

Anayehitaj kuolewa anaolewa, pia wa kuoa anaoa.

Ukiona wanaume wanapenda kuoa wa kinisan au msikitini hamia huko huko.

Miss Irene umeanza kwa kasi sana, punguza speed.
Speed ipi tena?
 
Haha umeanza mikwara yako -.. kwani wewe unanijua mimi ni nani. .na Nina fanya kazi gani mkuu ""hebu tufanye kuwa hakuna anayemjua mwenzie kati yetu. ....
Lakini nakuhakikishia huwezi kunikaribia mkuu,, kuna watu wananisumbua PM sijui wananichukuliaje yaani wanavyoona post zangu basi wanahisi 100% nipo hivyo
 
Una uhakika gani sasa Irene. ..anyway Tuachane na hayo 'maana the way hulka yangu ilivyo huwa sio mtu wa kugombania status. .... though kuhusu Suala la wewe kuwa bar maid -- nilikuwa nakutania tu don't take it a personal
Lakini nakuhakikishia huwezi kunikaribia mkuu,, kuna watu wananisumbua PM sijui wananichukuliaje yaani wanavyoona post zangu basi wanahisi 100% nipo hivyo
 
Habari za mida bandungu?
Kumeibuka tabia ya wanaume kutuchambua kama karanga (sisi wanawake) unasikia kabisa jamaa linasema "yaani nioe mwanamke anafanya kazi bar" sasa unadhani kuna tofauti ya papuchi ya mwanamke aliyeko bar na hawa wadogo zetu, dada zetu na wengine walioko makwao, shule na vyuoni?

Unaweza kushangaa idadi ya wanaume waliomkula bar maid inazidi kidogo tu kwa hawa mnaowaita wametulia au hata wanalingana tu!

Jamani wanaume mjaribu kufanya tafiti kidogo hawa wa nyumbani ndo wabaya sana siku hizi, unakuta ka-dada kako form two tu, ila kana mabwana wanne, mbaya zaidi wanaume nao wanaviamini hivi visichana vidogo hawatumii hata kinga

Sasa kasheshe linakuja pale hao wanaume wanne wanaokakula haka kabinti nao wana wanawake kama sita sita tena pembeni yaani ni bonge moja la mtandao hapo ila unakuta mtu anajiaminisha kabisa

Hebu fikiria binti wa form one one nae siku hizi ana mabwana,, sasa piga hesabu ya kawaida tu yaani kambinti kamalize form one kakiwa kameliwa na mabwana wanne, form two napo kaliwe na wanne tena hivyo hivyo form three na form four maana yake kanamaliza O'level kameliwa na mabwana kumi na sita Advance je? na chuo vipi??

Hapo unakuja kuoa mwanamke kamaliza chuo ana fanya kazi ofisi fulani ambayo alipata kazi kwa kugawa uloda kwa boss wake, sijipigii debe kwamba niolewe me bado mdogo

Ila wanaume muamini hakuna tofauti kama unaoa oa tu, kuna huyu wakuchuja alidai mchumba wake kamkuta bar so anataka kuvunja uchumba

Narudia tena hakuna tofauti kati yetu,, kama unabisha nenda kaoe sehemu na wewe uishi hapo hapo na mkeo uone vile wale waliokuwa wanamkula mkeo kabla hujamjua wanavyoendelea kukupigia

Ila ukipata mwanamke ambaye amejichokea na maisha ukamtunza vizuri na bahati nzuri awe na hakili ya kujichunga mwenyewe utapenda,, haya basi walionielewa nendeni mkaoe popote oa tu!

Very true kabisa....wanawake wanagegedwa tuu hivyo usijidanganye kuwa yupo wako peke yako....as long as umemkuta kashagegedwa basi huyo ni malaya untill pale atakapo badilika.....wanaume tuendelee kugegeda hawa wanawake ila tusiwapende kamwe
 
Back
Top Bottom