Dunia inabadilika na uhalisia wa mambo unabadilika Leo hii ningepewa fursa ya kupendekeza maana mpya ya upendo ningesema upendo ni pesa kwa sababu zifuatazo.
1. Upendo ni hali ya kujali na...
Jamani kiukweli nina hamu na kuangalia haya mashindano japo liking'amuzi nalotumia inaonekana hawaonyeshi...
Rasmi mwaka huu nmeamua kutupa na kuacha kabisa kutumia hiki ki STARTIMES
Yaani...
Nyumbani tuna paka jike.
Kwa vile tuna watoto wadogo na wanapenda kumchezea tukaona isiwe mbaya tumgharamie kumpeleka vet clinic kwa check up,kumkata kucha ,madawa etc
Tatizo ni kwamba anashiriki...
Polen kwa majukumu wakuu,kama kichwa kinanavojieleza hapo juu,ningetaka kujua,iv inakuaje x wako anakua anakusumbua sanaa na txt pamoja na calls nyingi tu huku keshamua kukuacha na kwenda kwa...
Nilishalia sana kwa mrembo flani kipindi hicho, Nilishaomba sana samahani kwa makosa ambayo ata sikuwa nimefanya mie,
Kuanzia mapenzi yanipe Funzo nimegundua kitu kimoja neno Samahani kwenye...
Njia rahisi ya kuachana na mpenzi wako,ni ku-save namba yake ya simu kwa jina la machukizo mfano:-mweu,chizi,bogus,taahira n.k Siku atakapojiona tu,ataanzisha fujo na ndio itakuwa chanzo cha...
Bila kupoteza muda mimi nimekuwa sipendi na nawachukia mademu wafupi kama nyundo aka mbuti from ituri forests!
Kwanza hata ukitembea naye barabarani haileti mvuto kabisa hata kumpiga kiss lazima...
Ok,wakuu,..weekend yangu imeanza leo,.
to the point
Mim bwana nmepitia meng kwenye mahusiano,nshapenda saana had kua chiz,..namii nkipenda nmependa kwel naweza penda mwanamke ile kupitiliza ,yan...
Hii ishawahi nitokea wakuu , ilikuwa noma sana,we acha tu mapenzi
HAYAELEWI .ilikuja kuwa badae sana nilipomalizaO-level.Ndo nkajua mapenzi hayaelewi na ni balaa ikija kichwakichwa.OVA Wakuu
Niend direct kweny maada
Kuna binti nmetokea kumpenda sana nmeanz nae mahusiano mwaka jana tumekua tukiendlea vzur san lakin siku ya jana cjamuelew kabsa aliniaga anaenda kukutana na kaka ake...
ikitokea mwanaume ulikuwa na demu wako unaye mpenda kwa dhati kabisa ghafla tu anakuambia kuwa kuanzia leo mimi na wewe basi kila mtu afanye mambo yake ,hakuna tena cha mahusiano wala mapenzi je...
Salam kwenu wakuu.
Wanawake bana nashindwa kabisa kuwaelewa.
Hivi inawezekana Mwanamke akatoka home kuelekea katika mihangaiko yake bila kuvaa hata PICHU?🙄🙄🙄
Leo Asubuhi wakati naelekea katika...
Mwanamke ni sawa sawa na gari,kuna ist,ford ranger,explorer,landcruiser n.k pia wapo wenye cc 1000, 2500 n.k Mi napenda ford explorer,landcruiser n.k yaani wale waliojazia wanaoanzia cc 4600.Je...
Niaje Maninja na masista Duu wa JF.Najua mko Gud,
Ok mzuka mwingi.
Twende kwenye Topic wazazi
Kwa jinsi Dunia inavo Rotate kwa kasi ya kimbunga Kenethi Na watu waliomo ndani yake basi...
Maisha ya ndoa raha sana hasa pale mnapokuwa mnatafuta watoto;akiwa jikoni unampa kitu,bafuni unampa kitu,chumbani unampa kitu,sebuleni unampa kitu,kama uko kwenye uzio pia unampa kitu,akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.