Mke wangu hataki tendo la ndoa, ananikosesha raha

Vivan cappatinho

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2018
Posts
284
Reaction score
238
Sasa hivi ni kama mwezi wa tisa mke wangu hana hamu na mimi kabisa.

Tunaweza kaa hata week mbili hataki kusex hadi atake yeye na hapo ndio huwa simuelewi maana huwa namfikisha vizuri tatizo tukisex leo kuja kunipa tena baada ya week mbili hadi tatu.

Na home huwa hatoki kusema kwamba anaenda kucheat, yeye ni mtu wa kushinda home tu
 
Kaa chini fanya nae mazungumzo juu ya suala ilo mkuu
Sio muwadhi uwa ataki kusema nimeshhsjitaidi sana lakini wapi. Ndio kwanza namwaka mmoja toka nikonae nmeona nije um kuuliza maana labda cjui wenda ni kawaida kwa ndoa zote
 
Haiwez kuwa kwa ndoa zote mkuu muhimu pia tafuta Hat mtaalamu wa masual ya ndoa
 
Sasa hivi ni kama mwezi wa tisa mke wangu hana hamu na mimi kabisa tunaweza kaa ata week mbili ataki kusex ad atake yeye na hapo ndio uwa simu helewi maana uwa namfikisha vizuri tatizo tukisex leo kuja kunipa tena baada ya week mbili ad tatu, na home uwa atoki kusema kwamba anaenda kucheat yeye ni mtu wa kushinda home tu
Mwandiko wa hivi una mke?
 
Sio muwadhi uwa ataki kusema nimeshhsjitaidi sana lakini wapi. Ndio kwanza namwaka mmoja toka nikonae nmeona nije um kuuliza maana labda cjui wenda ni kawaida kwa ndoa zote
Hiyo siyo kawaida. Kwa kuwa umesema huwa hatoki hm, basi kuna mjanja huwa anaoshea rungu lake hapo hapo home.
Mke anatakiwa awe anashushwa Nyegezi c chini ya mara 3 kwa wiki kwa kutaka yeye.
 
Uko saw ila iyo ya kusem kuna mjanja anaoshea runga hapa hom sizani maan kqzini kwangu ni jirani tu na uwana namuona karibu muda wote sasa cjui kawaje tu
 
Back
Top Bottom