Demu wangu ananisumbua,nifanyeje ili nimuache?

Demu wangu ananisumbua,nifanyeje ili nimuache?

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,480
Kama kichwa kinavyojieleza. Nina mpenzi wangu tumedumu kwa miaka mitatu sasa, yupo chuo anamaliza mwaka huu wa tatu.

Kiukweli nampenda sana na sitarajii kuwa na mwanamke mwingine. Lakini hivi karibuni anavyokaribia kumaliza ameanza tabia ambazo silidhishwi nazo. Tabia ambazo binafsi naamini kabisa ameshanichoka au ameshapata mwanaume mwingine ambaye wameweka malengo nae.

Nikimtumia pesa hasemi kama kapata hadi nimuulize,nikipiga simu hapokei kwa wakati na akipokea basi ujue tunaongea dakika mbili ananiaga,nisipompigia mimi au nisipomtext basi ujue imeshatoka hiyo.

Akinikosea nikimuuliza ananijia juu kama vile anaongea na mtoto mdogo.

Nikimuomba aje kwangu siku hizi anakataa.

Kwa kweli nateseka mwenzenu sana

Najua kabisa kwamba mapenzi yake kwangu yameshakufa ila tu namlazimisha ila nashindwa namna ya kujitoa kwake.

Najaribu kukaza nisimtafute kuanzia asbh hadi jioni lakini ikifika usiku lazima namtafuta tuu. Kwa kweli nampenda sana sijui hata nifanye nini?

Natamani sana nimpotezee ila najikuta nashindwa. Nimejaribu kulala na wanawake wengine lakini bado haijasaidia kwa sababu nikilala na mwanamke mwingine akishaondoka tu naanza kumkumbuka huyu anayenisumbua.

Nisaidieni wanajukwaa, nifanye nini niachane na huyu mwanamke.

Nifanyeje afutike akilini mwangu kabisa nateseka mwenzenu
 
Mpaka hapo ni wazi kwamba ameshapata mtu mwingine.

Adui wa mwanamke ni mwanamke.... Tafuta rafiki yake wa kike wa karibu, weka nae miadi mkutane mahali kisha mfungukie hali halisi na umwombe akueleze ukweli kwa lengo la kukusaidia. Atakwambia kila kitu na itabaki ww kufanya maamuzi....

Njia ya mwisho kabisa kimya chako ndo kitakua njia ya kumwacha..... Saivi anafanya jeuri maana anajua lazima umtafute.....
 
Aaaah unataka umuache ili iweje? Usimuache ila ww nenda nae hvyo hvyo kama anavyotaka, unavyoongeza bidii kumu impress ndio anazid kukuona fala na ndio utazid kuumia.

Ni ngumu lkn ww punguza mawasiliano taratibu usimtumie hela usimpigie simu mara kwa mara mpaka uwe na ishu maalum,
kama ni salamu tu mtumie text asipojibu potezea kmya kmya...

atakaa kuna muda atakumiss na atakutafuta tu hawa viumbe hawafuti memory za mapenz completely lazma kuna kitu special atakikumbuka kutoka kwako kupitia hicho atakutafuta mwenyew cha muhimu dont kiss her ass too much!

Kuji comfort tafuta demu mwingine smart kwa ajili ya kuwasiliana nae muda ambao uko idel ili mawazo ya kumtafuta kivuruge yapungue!
 
Na wewe fanya yako....
Kamaliza chuo haoni tena cha amaana kwako.....
Inawezankuwa alikuwa anadubiri kumaliza chuo baada ya kumpa matunzo.
 
Njia ya mwanzo kabisa ya kuanza kumsahau ni kupunguza mawasiliano nae
Anza taratibu kujitoa kwake...kama ulikuwa unampigia mara tatu kwa siku jitahidi kujizuia umpigie hata mara mbili itaenda taratibu hadi utaacha kabisa
Ni ngumu lakini jitahidi na utaweza

Na katika kupunguza huko mawasiliano nae niamini lazima itafika siku atakuuliza juu ya ukimya wako...akifanya hivyo usimjibu!

Kuhusu kulala na wanawake wengine mie nakushauri uache manake huko utajitafutia mengine mazito...we relax,kuwa busy na mambo yako na kila kitu kitakuwa sawa,ni suala la muda tu

Pole sana
 
Cha moto huwa kipo, mwanzo mgumu lakini with time taratibu utarudi kwenye maisha mengine.
 
Aaaah unataka umuache ili iweje? Usimuache ila ww nenda nae hvyo hvyo kama anavyotaka, unavyoongeza bidii kumu impress ndio anazid kukuona fala na ndio utazid kuumia.

Ni ngumu lkn ww punguza mawasiliano taratibu usimtumie hela usimpigie simu mara kwa mara mpaka uwe na ishu maalum,
kama ni salamu tu mtumie text asipojibu potezea kmya kmya...

atakaa kuna muda atakumiss na atakutafuta tu hawa viumbe hawafuti memory za mapenz completely lazma kuna kitu special atakikumbuka kutoka kwako kupitia hicho atakutafuta mwenyew cha muhimu dont kiss her ass too much!

Kuji comfort tafuta demu mwingine smart kwa ajili ya kuwasiliana nae muda ambao uko idel ili mawazo ya kumtafuta kivuruge yapungue!
Hii mbinu iliwahi kunifaa sana, nashauri mtoa mada aizingatie
 
Pole sana ndugu.

Haya ndiyo madhara ya kumpenda mwanamke kupita kiasi.

Tazama unavyosumbuka!

Piga chini mapema kabla hujaaibika.
Kama umepitia maisha ya chuo, utakuwa unajua haya.
 
Wacha useng.e mabaharia hatupogo hivyo,tafuta demu mwengine chapu kula nyama upunguze wenge,wacha kufosi penzi

Mpotezee kwa muda atarudi tu,usishangae nyoka kurudi shimoni ndo nyumbani mwake.Akirudi unampimia kipimo alichokuwa anakupimia,more you give,more you receive.
Kama kichwa kinavyojieleza. Nina mpenzi wangu tumedumu kwa miaka mitatu sasa..yupo chuo anamaliza mwaka huu wa tatu.kiukweli nampenda sana na sitarajii kuwa na mwanamke mwingine.lakini hivi karibuni anavyokaribia kumaliza ameanza tabia ambazo silidhishwi nazo.tabia ambazo binafsi naamini kabisa ameshanichoka au ameshapata mwanaume mwingine ambaye wameweka malengo nae..nikimtumia pesa hasemi kama kapata hadi nimuulize,nikipiga simu hapokei kwa wakati na akipokea basi ujue tunaongea dakika mbili ananiaga,nisipompigia mimi au nisipomtext basi ujue imeshatoka hiyo.akinikosea nikimuuliza ananijia juu kama vile anaongea na mtoto mdogo.nikimuomba aje kwangu siku hizi anakataa,kwa kweli nateseka mwenzenu sana ..najua kabisa kwamba mapenzi yake kwangu yameshakufa ila tu namlazimisha ila nashindwa namna ya kujitoa kwake.najaribu kukaza nisimtafute kuanzia asbh hadi jioni lakini ikifika usiku lazima namtafuta tuu.nashindwa.kwa kweli nampenda sana sijui hata nifanye nini?! Natamani sana nimpotezee ila najikuta nashindwa.nimejaribu kulala na wanawake wengine lakini bado haijasaidia kwa sababu nikilala na mwanamke mwingineakishaondoka tu naanza kumkumbuka huyu anayenisumbua..nisaidieni wana jukwaa .nifanye nini niachane na huyu mwanamke,nifanyeje afutike akilini mwangu kabisa ...nateseka mwenzenu
 
Kifupi huyo dem sio wako tena mkuu.

Hawa ni rahisi kuwajua km wanachepuka.

Inaelekea wew ulimwacha mbali au ulimwamini sana.

Ungemwahi alipoanza ingekuwa rahisi kumpata.

Saivi kama kweli unamtaka utahitaji nguvu ya ziada kumpata.

Hawaamini hao watu.

Kila lakheri.
 
Kama kichwa kinavyojieleza. Nina mpenzi wangu tumedumu kwa miaka mitatu sasa..yupo chuo anamaliza mwaka huu wa tatu.kiukweli nampenda sana na sitarajii kuwa na mwanamke mwingine.lakini hivi karibuni anavyokaribia kumaliza ameanza tabia ambazo silidhishwi nazo.tabia ambazo binafsi naamini kabisa ameshanichoka au ameshapata mwanaume mwingine ambaye wameweka malengo nae..nikimtumia pesa hasemi kama kapata hadi nimuulize,nikipiga simu hapokei kwa wakati na akipokea basi ujue tunaongea dakika mbili ananiaga,nisipompigia mimi au nisipomtext basi ujue imeshatoka hiyo.akinikosea nikimuuliza ananijia juu kama vile anaongea na mtoto mdogo.nikimuomba aje kwangu siku hizi anakataa,kwa kweli nateseka mwenzenu sana ..najua kabisa kwamba mapenzi yake kwangu yameshakufa ila tu namlazimisha ila nashindwa namna ya kujitoa kwake.najaribu kukaza nisimtafute kuanzia asbh hadi jioni lakini ikifika usiku lazima namtafuta tuu.nashindwa.kwa kweli nampenda sana sijui hata nifanye nini?! Natamani sana nimpotezee ila najikuta nashindwa.nimejaribu kulala na wanawake wengine lakini bado haijasaidia kwa sababu nikilala na mwanamke mwingineakishaondoka tu naanza kumkumbuka huyu anayenisumbua..nisaidieni wana jukwaa .nifanye nini niachane na huyu mwanamke,nifanyeje afutike akilini mwangu kabisa ...nateseka mwenzenu
jinyonge ufeeeee ,,, maana hujui maana ya maisha .. Ujinga kumkabidhi mtu furaha yako.
 
Tafuta rafiki yake wa karibu mtongoze,weka nae malengo, MPE pesa, na kugegenda usisahau. Akishajua unatoka na shoga ake roho lazima iume tu hata kama kashaolewa

hayo yalishawahi kunitokea enzi npo kitaa natafuta maisha mwk 2012 nilimtafuta shoga ake tena wanaesoma chuo kimoja nikaanza nae mapenzi kwa siri bila yye kufaham chochote afu mwisho wa siku nikawa napewa mahaba kama yote bila kusahau migegendo ya kufa mtu
 
Duh, alipogundua ilikuwaje

Similar Discussions

Back
Top Bottom