Jan-uary
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,050
- 1,144
Mara nyingi utawasikia wanawake wakilalamika kwamba,wanaume wakishawatumia na kuwachoka wanaachwa,ikiwa kile kitendo ni raha kwa wote wawili kwanini mmoja aseme anatumika?
Mmekuwa marafiki kwa miezi au miaka kadhaa mnaamua kuachana kwa sababu za hapa na pale mwanaume ukimwambia mwanamke naomba ile laptop niliyokuazima unirudishie,utasikia sikupi nng'oo ulikuwa unanitumia bure!!