Karaha ya kuwa na mwenzi mnywa pombe

Karaha ya kuwa na mwenzi mnywa pombe

NYEKUNDU YA BIBI

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
2,307
Reaction score
3,017
Poleni Kwa mfungo ndugu zangu waislamu huku wakristo mkiendelea kula mema ya nchi mchana kweupe!!!!!!

Usiku wa Leo nimetoka kumfukuza classmate wangu wa kike akalale kibarazani kwakuwa mimi ndio nilikuwa mgeni wake hapa mjini kamaliza Chuo fulani kaja kufatilia masuala yake ya kielimu.

Mimi sijaoa nikaona fresh atakaa tu kwa kuwa ni ke haina mbaya atakuwa mama kwa muda huku akisubiri mambo yake, kumbe anakula tungi

Hivi inakuaje unakuwa na mwenza mla urabu(tungi) iwe yoyote ile softy au hard kama bingwa N.k

Kwanza harufu anayokupumulia huwa unajisikia vipi ,pia kwenda kukojoa wakati mmelala hii vipi na kukiacha choo kikiwa na harufu moja balaa sana.

Jaribuni ustaarabu mnavyokuwa ugenini kama unapiga ulaji fuata protocol sio unakunywa mpaka ukifika kitandani unashindwa kutoa ushirikiano unalala kama Gwajima na demu wake[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ni mwenyeji au mgeni wake? unawezaje kumfukuza mwenyeji wako kitandani kwake?
 
Huu ni ujinga na utoto, mambo ya chumbani kwenu yanatuhusu nini sisi?
Kaa chini na mwenzako umwambie usichokipenda.
Hata wewe una kasoro zako kibao, tena utakuta hata nguvu za kiume huna, hujatahiriwa na unakibamia Ndiyo Maana Akaenda kupiga ulabu
 
Back
Top Bottom